Hv Nokia c walinunuliwa na research in motion?mambo yote BlackBerry bana iphone wenyewe chali kwa z10
Vipi kuhusu security features kama anti theft?
ahsante kwa kunielewesha mkuu! Vipi sasa kuhusu hawa ndugu zetu Wachina!?mkuu haimaanishi siku 35 basi ndo unapiga kila saa ikae muda huo. Yani hapo wameeka muda wa stabdby, yani unawasha simu inakaa on hupigi hupigiwi ndo itakaa muda huo. Kwa matumizi makubwa labda sku 7 au 8
ahsante kwa kunielewesha mkuu! Vipi sasa kuhusu hawa ndugu zetu Wachina!?