Emc2
JF-Expert Member
- Sep 26, 2011
- 16,808
- 16,951
sema tu ukweli nokia ndio kaieka windows phone hapa ilipo. mi ni fan mkubwa wa windows phone ila nimeipenda sababu ya nokia.
asilimia 85 ya wp zote ni nokia, kuna vitu hivi nokia kavifanya kwenye windows phone.
1. app 600 store ni za nokia
2. ecosystem ya ramani ni ya nokia (hadi bing map)
3. nokia ametoa sdk zake mwenyewe ili madeveloper watoe apps mfano sdk ya camera
4. nokia ametoa app ya kuhack registry kuinfluence watu kuweza kuihack wp ili kupata vitu kama custom rom na kuside load apps
5. nokia ameruhusu research zake ziingie kwenye windows phone vitu kama glance screen, kublock calls na sms
vipo vitu vingi kaka vyengine sikumbuki kwa kichwa.
sasa imagine microsoft anachukua hardware part ya nokia, then cto office inabaki pale pale nokia.
hii cto office ndio roho ya nokia innovation zote zinatoka hapa alionunua microsoft ni watekelezaji wa vitu vinavyotoka hapa.
windows phone bila nokia itakufa unless microsoft aihamishe awape jamaa wa windows kazi ya kuisuka upya windows phone
Kaka mimi sikukubishii kabisa ila kitu kikubwa kabisa katika kila operating yeyoye ni "Kernel" Hii ndio roho ya operating system. Vitu unavyovisema vyote vinarun juu ya Kernel. kernel ya Lumia ni Windows NT ni kama ya computer windows
So kitu siyo SDK(Standar Development Kit) Hiyo iko juu ya Kernel.
Kumbuka Microsoft tayari wako na .NET framwork Strong Programing Language
Vile vile wapo na DirectX kwaajiri ya 3D(Game Programming ) Bado wako na Xbox kaka
Microsoft wamefanya kikubwa sana kumkomboa Nokia.