hapo lazima kuna %flani ya vishawishi kutoka lumia phones vilivyosababisha Apple kutoa colored models..kwenye tweet yao Hii hapa nokia uk wamewapiga dongo apple kwa kuwakubali kiaina baada ya kuonekana nokia lumia zimefanana na iphone 5c... wewe unaonaje?