Nenda gsmarena.com ufanye comparizon na uangalie user comments, hapa tutakudandanya tu kwa sababu hakuna mtu aliyetumia hizi simu kwa mpigo akajua ipi bora kuliko nyingine
kujua simu ipi bora kat ya izo c lazima uwe ume2mia zote kwa mpigo bro na hata nikienda huko gsm arena naeza nisielewe ki2 coz info nitazopata stil zitahitaj interpretation mkuu
Nakushauri ununue xperia s kama unataka maana hiyo Nokia inatumia Symbian OS ambayo Ni dead platform so usitegeme updates zozote wala apps za maana, kwan Nokia walisha achana nayo hiyo OS, ukitaka Nokia go for Lumia zenye windows phone 8 like (520, 620, 720, 920, 1020 etc)