Nokia Ovi Store Update!..

Nokia Ovi Store Update!..

Nyakwec's Bro

JF-Expert Member
Joined
Apr 27, 2012
Posts
820
Reaction score
174
Wakuu ninatumia nokia c3-01,ovi store yangu ilikuwa outdated nikifungua inaniletea current version niupdate lakini

nikitaka ku-update ina-fail naambiwa "there is no secure connection" nimehangaika sana kutafuta hyo secure

connection na suluhu ya hilo tatizo wapi.

Ndipo nikaja kugundua kwamba nikijiunga kwenye hizi bundle za internet kwa mfano za cheka au extreme ndy ninapata

hilo tatizo hivyo nikajaribu ku-download direct kwa kutumia pesa ya kwenye simu nikafanikiwa sasa nina new version

ya nokia store na inafanya kazi vizuri.

Nimeweka hapa jamvini ili kama kuna watu wanatatizo kama ambalo nililokuwa nalo mm waweze kupata majibu,pia

kuuliza kuhusu hiyo secure connection,bila shaka unapokuwa na bandle ya internet na usipokuwa unatumia bundle

unaccess katika channels 2 tofauti za internet moja ni secure na nyingine siyo nilitakakujua kwa wanaofahamu

utofauti wa hizi connection 2 na inakuwaje moja ni secure na nyingine siyo ni kwa namna gani?..
 
Back
Top Bottom