wadau naombeni mnijuze hivi nokia n9 inasupport whatsapp
bora nimekuta hii thread, jamani nina n9 hilo, ck hz kila nikiweka line linazima na ukiwasha linawaka na kuzima, ila nikitoa line linapiga mzigo kama kawaida bila kuzimika. so anayeweza kuniadvice please mathinker.