Hallow wana JF
Nina simu yangu aina ya Nokia N8, na huwa ninatumia line ya voda, sasa jana nikaeka line ya Zantel wakawa wamenitumia mameji kibao ya setting za internet
Nilipoitoa line ya zantel nikaweka ya voda simu ikawa inadisplay icon ya bahasha ya message muda wote hadi sasa, nimejaribu jinsi ya kukitoa nimeshindwa, please anybody with ideas hw i can get rid of this (kanatokea kwa juu kabisa sehemu inapoonyesha network status)
Please help