Nokia lumia 710 inauzwa tsh 200,000

Nokia lumia 710 inauzwa tsh 200,000

ngosha2011

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2011
Posts
681
Reaction score
87
Simu tajwa hapo juu ni used kwa miezi minne lakini bado ipo vizuri,internal memory 8Gb ni window 7,nimeshindwa ku-upload picha.kwa sifa zingine unaweza kuitafuta google
 
rafiki yangu hiyo cm umeinunua juzijuzi tu tena kwa mtu kwa kupenda vitu vya bei ndogo, uza kwa kurudisha hela yako hapo umeshaliwa.
 
ndo code gani hiz mkuu?

Zinaitwa USSD Code mkuu.
Kama kuunga cheka *149*01# kutumia.Mpesa au.tigo pesa *150*00# etc. Yaani zile command tunazotumia kwenye simu kupata huduma fulani.
 
rafiki yangu hiyo cm umeinunua juzijuzi tu tena kwa mtu kwa kupenda vitu vya bei ndogo, uza kwa kurudisha hela yako hapo umeshaliwa.

Kioo 3.7" with Clear Black Tech., RAM 512mb, Processor 1.4Ghz, Camera 5mpx with Flash, OS Wimdows 7 Mango.

Tatizo.hapo kwenye OS tuu. Lumia 510, 610 na 710 ndio Lumia pekee zenye Wimdows 7, zingine zote w8. So kupata updates hapo mnakua minority sana kwahiyo hawa-waconsidi.
 
rafiki yangu hiyo cm umeinunua juzijuzi tu tena kwa mtu kwa kupenda vitu vya bei ndogo, uza kwa kurudisha hela yako hapo umeshaliwa.

acha hizo we kama hutaki chapa raba sio maneno mengi,nan kakuambia nimenunua juzi?
 
unapokuwa na duka sii wote watakaoiingia wtanunua,
wapo watakaobeza bei za bidhaa zako, ubora bidhaa etc.

kauli zako kwao ni jibu ulivyomkomavu kibiashara!
 
Zinaitwa USSD Code mkuu.
Kama kuunga cheka *149*01# kutumia.Mpesa au.tigo pesa *150*00# etc. Yaani zile command tunazotumia kwenye simu kupata huduma fulani.

ahaaa!! nimekuelewa mkuu! sasa inakuwaje sim inakosa code kama hizo?

ina maana huduma za m-sea ama kuangalia salio itashindikana?
 
Sijui Lumia 510, 610 na 710 walijichanganya nini hapo? Ila kuna trick unaweza jaribu. Unapiga namba let's say 100, ikianza kuongea unaanza comand USSD codes zako. It works.

Bei ya jamaa ipo juu sana kwa hii simu. May be 160,000-140,000Tsh.
 
Simu tajwa hapo juu ni used kwa miezi minne lakini bado ipo vizuri,internal memory 8Gb ni window 7,nimeshindwa ku-upload picha.kwa sifa zingine unaweza kuitafuta google
nipe no yako ya cm tuongee biashara mkuu yangu 0713239001
 
mbona niliku pm hujanijibu, imeshauzwa au bado...weka namba yako basi
 
Back
Top Bottom