F fukunyungu JF-Expert Member Joined May 16, 2011 Posts 717 Reaction score 196 Jun 24, 2014 #1 habari za mida hii wakuu, naomba msaada kwa anaejua jinsi ya kuifanyia resetting nokia lumia 620 kwa mwenye ujuzi huo tafadhari msaada unahitajika, thank you so much in advance
habari za mida hii wakuu, naomba msaada kwa anaejua jinsi ya kuifanyia resetting nokia lumia 620 kwa mwenye ujuzi huo tafadhari msaada unahitajika, thank you so much in advance
Chief-Mkwawa Platinum Member Joined May 25, 2011 Posts 32,280 Reaction score 44,417 Jun 24, 2014 #2 Bonyeza setting shuka chini hadi about utaona reset