Nokia Lumia 1520 ishatoka??

Nokia Lumia 1520 ishatoka??

bona

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2009
Posts
3,798
Reaction score
1,444
kuna post iliweka about nokia kuja na lumia mpya 1520 vp ishakua released?
 
sjaandika mimi hio post hii simu itazinduliwa tarehe 22 october pale abudhabi jumla zitazinduliwa simu 6.

itaanza kuuzwa mwez wa 11
Nokia-Event-300x244.jpg

pamoja na lumia 1520 kutakua na lumia 2520 ambayo ni tablet, pamoja na simu nyengine nne
 
sjaandika mimi hio post hii simu itazinduliwa tarehe 22 october pale abudhabi jumla zitazinduliwa simu 6.

Itaanza kuuzwa mwez wa 11
nokia-event-300x244.jpg

pamoja na lumia 1520 kutakua na lumia 2520 ambayo ni tablet, pamoja na simu nyengine nne

au pamoja na hyo 515
 
Mkuu ubaya wa Nokia ni operating system wanayotumia window 8 mbaya haina innovative features mfano lumia 1020 ni bonge moja la simu camera yake noumer inapiga picha kama MTU wa ukweli yaan balaa tatizo inarun window 8 nafikiri ingekuwa na android ingefanya vizuri sana Nokia imeuzwa sababu ya soko la simu zake limefifia sana dats y Microsoft kaeza inunua
 
actual haina apps na games labda useme hivyo ila ukisema haina innovative features ur wrong sababu zote ios na android version mpya zimekua influenced na wp. namanisha
-project butter ya jb
-ios 7 na flat ui
hapo hujazungumzia
-tiles
-kids corner
-room
-people hub
-xbox (achievement)

vyote hivyo vimeanzia wp na platform nyengine wanaiga
 
Back
Top Bottom