Nokia kutengeneza Simu zinazotumia technologia ya Androids including OS ya windows

Nokia kutengeneza Simu zinazotumia technologia ya Androids including OS ya windows

kyaukke

Member
Joined
Jan 16, 2011
Posts
19
Reaction score
3
Mimi ni mpenzi wa simu za Nokia na kuna tetesi kwamba Nokia wapo mbioni kutengeneza simu zinazotumia technolojia ya Androids. Is a good news for Nokia users. Mimi binafsi natumia smartphone za Nokia but though wapo in closed ecosystem simu zao ni imara sana na surface finishing is good compare to Samsung na wengineo.

Heko Nokia; tuingizeni katika open ecosystem though OS ya windows itatumika pamoja na Androids.
habari zaidi soma HAPA
 
Yale yale ya Nokia Normandy, haijulikani kipi ni kipi imebaki kuwa tetesi tu
 
Wewe huna smartphone kwa sababu mpaka saa hii nokia hawana smartphone
 
nani kasema nokia hana smartphone, na je nokia lumia ni nini vile? Mm cjaona compun inayotengeneza cim imara kama nokia, huwez amini, mama angu anatumia nokia ya mwaka 2007 had leo hii, yan imebadilishwa betr tu
 
kwan smartphone ni simu ya aina ipi?

Smart phone ni simu ambayo ipo advanced in terms of aplication ukilinganisha na simu za kawaida.Smart phone zina OS kama vile Androids,Blackbery,WP, iOS nk. Pia smart phones high data connectivity,popular web brouser,mult touch screen résolution, GPS, application store nk. Simu za kawaida hazina feature hizi.
 
umetisha....
 
nokia wakitengeneza simu za android nawahama, nahamia iphone.
 
nani kasema nokia hana smartphone, na je nokia lumia ni nini vile? Mm cjaona compun inayotengeneza cim imara kama nokia, huwez amini, mama angu anatumia nokia ya mwaka 2007 had leo hii, yan imebadilishwa betr tu
Mpatie mama simu mpya bwna na yeye aingie whatsapp.. wewe unaona Raha tu anahangaika na huo uchafu??
 
Nokia kuhamia android "haiwezekani"...nokia sasa ------------ na Microsoft Ni vigumu mno kwa kampuni iliochhini ya Microsoft ikatimua OS ya wapinzani Wao wakubwa wa biashara google
 
we ukihama sisi tutafaidika na nin kwa kuhamia iOS, au utamtia hasara nan

nina preference zangu, hata wewe una zako.

so far wewe inakuhusu nini? wenzako wamesoma wakapita.
 
Nokia akihamia Android, itabidi hivi vitu viwili vikubwa vitokee:

-Aache Here Map yake alazimishwe kutumia ya Google Map.
-Aache Ovi Store yake aanze kutumia ya Google Play.

Sijui itawezekana sasa?
 
Nokia akihamia Android, itabidi hivi vitu viwili vikubwa vitokee:

-Aache Here Map yake alazimishwe kutumia ya Google Map.
-Aache Ovi Store yake aanze kutumia ya Google Play.

Sijui itawezekana sasa?

kaka umeona kindle fire? hazina google play wala google map kwenye navigation zinatumia here na store wanatumia amazon app store.

hakuna shida kwa nokia
 
Nokia kuhamia android "haiwezekani"...nokia sasa ------------ na Microsoft Ni vigumu mno kwa kampuni iliochhini ya Microsoft ikatimua OS ya wapinzani Wao wakubwa wa biashara google

we hujui dunia inavyoenda sasa ngoja nikupe hizi statistics labda utaelewa.

per day ukitumia service za google wao wanapata dola 6.85 ambayo kwa mwaka ni kama dola 2500 aproximation. hivyo mtu ambaye yupo active na service za google kwa mwaka anaipatia hii kampuni milioni 4. kwa wale ambao wapo adroid kitambo maybe washaingizia google kama milioni 20.

microsoft wao service zao si za kiwizi wizi kama google. wana games (unacrack) wana ms office (una crack) wana windows (una crack) vitu vyao karibia vyote ni vya offline hivyo unaweza kuwa navyo vyote kwa kuwaibia bila hata kuwaingizia sh 10.

baada ya kuona hivyo jiulize sasa microsoft atapataje hela? hata mtoto mdogo atajibu hapa ni kuwafikia wateja kadri utakavyoweza halafu uwape service za bure lakini zenye matangazo au faida nyengine ili upate hela. na strategy moja wapo ni ya android.

chukua android toa vitu vyote vya google eka vitu vya nokia na microsoft halafu uza google hapati hata sh 10 hapa. ndo mana utaona sasa hivi wana bing map, xbox music, skype nk

na mfano mzuri tunaziona kindle fire. baada ya apple na ipad marekani na ulaya anaefatia kwa kuuza tablet nyingi ni amazon ambaye huuza tablet kwa bei ya hasara lakini anapata faida kwa kutumia service zake kama vitabu, amazon store nk. amazon hajaeka service za google.

na kama uliiona ile screenshot ya normandy utaona wameweza kureplace karibia vitu vyote.

1. google drive itakua skydrive
2. hangout itakua skype
3. g map itakua here map
4. gmail itakua outlook
5. g+ itakua facebook
6. playstore itakua ovi/amazon app store
7. google search itakua bing search

kila kitu kina alternative
 
Back
Top Bottom