Mkirua
JF-Expert Member
- Sep 9, 2010
- 5,647
- 2,512
zipo madukan kibao around 300,000
Maelezo ya hii XL yamenivutia (features zake) sasa sijui kuhusu uimara kwa walioziona na kuzitumia tafadhali tujuzane ili tusiingie mkenge wa kuwa na lundo la simu na kulazimika kugawa. Kingine chief-mkwawa and associates mnapoandika basi muweke ufafanuzi kidogo (tumieni lugha nyepesi) sio wote humu jukwaani ni IT specialists!! Mwisho ni kama umeutelekeza huu uzi maana tunahitaji mrejesho tuweze kufanya maamuzi sahihi.