nokia go affordable 2 feature phone na simu tatu za android

nokia go affordable 2 feature phone na simu tatu za android

Cmu ipi itakuwa nzuri katika swala la kukaa na chaji muda mrefu kati ya hizo.

kaka mpaka zikianza kuuzwa ndio tutajua. simu inaweza kuwa na battery kubwa ila isikae na chaji na nyengine zina battery ndogo zinakaa na chaji
 
kaka Flagship yao lini? tutegemee nini tena kwenye MWC 2014 kutoka Nokia?
 
Flagship Za Nokia Na Apple Hiwa znachelewa Kuanzia october mpaka November.. Sony na Htc na Samsung Tuwategemee Hivi Karibuni

huwa kikawaida flagship ya camera hutoka nusu ya mwaka ya kwanza na flagship ya simu ndio mwisho wa mwaka. nokia 808 na nokia lumia 1020 zilitoka mapema (2012 na 2013). hii update ya win8.1 ndio imechelewesha ila ilitakiwa lumia 1820 iwe tayari ishaanza kuleak/kuwa anounced
 
nilikua nasubili kwa hamu saaana hii kutu hatimaye ....android phone ya nokia that will be my favorite ..ila nina wasiwasi na uhimala wake je itakua himala kama zile simu za nokia zingine?:smile-big:
 
Naomba tofauti ya ubora kati ya hiyo X+ na Huawey y300

nokia x+ ni bora sababu.
1. ram kubwa 768mb vs 512mb ya y300
2. apps za nokia kama here map na mix radio
3. smoothness ukiwa unatumia fork android ya nokia
4. support kubwa sababu ni nokia
5. battery inyodumu kiasi (zote nokia x+ na y300 zina battery mbaya ila atleast nokia x inadumj kidogo)
6. build quality ya nokia nzuri

ascend y300 ni nzuri sababu
1. camera kubwa ya nyuma 5mp na kuwepo camera ya mbele
2. kioo chake ni 5 finger multitouch compare na 2 finger multitouch ya nokia
3.inatumia pure android sio fork hivyo inakubal apps nyingi.
4. imetoka mda ina suport kubwa
 
nilikua nasubili kwa hamu saaana hii kutu hatimaye ....android phone ya nokia that will be my favorite ..ila nina wasiwasi na uhimala wake je itakua himala kama zile simu za nokia zingine?:smile-big:

Smartbrain sio 'himala' ni 'imara'
 
Pure android ya Nokia X imeshatoka. Inabidi watu wahamie huko. Maana ni smooth na fast zaidi kuliko Fork/stock rom.

never ever pure android iwe fast kuliko aosp unaposema forked android ndio hio hio aosp kaka na ipo fast sababu.
1. haina google apps
2. inakua optimized kwa simu moja tu
3. haina bloatware (wengine wanaeka)

custom rom karibia zote kama vile za cyanogen, omni rom na aopk zote zinatumia aosp sasa unaposema pure android ipo fast upo wrong kaka.
 
Hivi unaweza ukadownload app za kuangalia mpira live kama vie 24/7sports online na ikafanya kazi?
 
Hivi unaweza ukadownload app za kuangalia mpira live kama vie 24/7sports online na ikafanya kazi?

kaka app zote za android zinakubali isipokuwa zile app zinazotumia service za google. mfano app zenye in app purchase zinazohitaji playstore. kuna app ukifungua zinataka kuverify playstore kwanza.

pia sina uhakika kama haka kasimu kanasuport flash, ila inawezekana kinasuport.

kama hio app haitumii google play service na simu ina flash basi utaweza kuangalia mpira fresh.
 
Flash si naweza kudownload kwenye hiyo simu kama hawakuweka?
 
Kuna LUMIA 525 inaonekana ni simu nzuri kutokana na mrejesho wa watumiaji.
 
zipo madukan kibao around 300,000

mkuu nimepata Lumia 820.

Shida yangu ni application ya jamiiforum.

Nimedowload tapatalk na kujaribu kuitafuta jf nimeshindwa kufanikiwa.

Au natakiwa nitumie njia gani ili kuipata jf?

Naomba msaada!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom