nokia go affordable 2 feature phone na simu tatu za android

nokia go affordable 2 feature phone na simu tatu za android

Chief-Mkwawa

Platinum Member
Joined
May 25, 2011
Posts
32,062
Reaction score
43,487
leo ilikua ni presentation ya nokia kwenye mobile world congress na kama kawaida nokia hawajatuangusha wakatuletea simu 5 za bei rahisi zaidi.

nokia 220
hii itukuwa kama s40 nyengine simu ya kawaida inayorun app za java na kusuport vitu kama facebook na internet
MNBIMG_3478.jpg

simu hii iyauzwa around 65,000

nokia asha 230
hii ni touch screen ndogo itakayoungana na nokia asha 501, 500, 502 na 503
asha-230-fastlane.png

simu hii nayo itauzwa around 90,000 hadi laki 1

nokia x na x+
simu mbili za android nokia x na x+ zimezinduliwa leo zikiwa na maumbo yanayofanana na kutofautiana storage na memory tu.

zote mbili zitakua na kioo cha inch 4, processor 1ghz dualcore na internal ya 4gb. nokia x ina internal 4gb bila memory card wakati nokia x+ itakua ina memory card. pia nokia x itakuwa na ram 512mb wakati nokia x+ itakuwa na ram 768mb. hivyo kwa wale wanaotumia simu whatsap kupiga na kupokea simu nokia x itawafaa ila wale ambao wanatumia simu kwa mambo mengi nokia x+ itakuwa ni nzuri zaidi.
Nokia-Normandy-Android-phone.jpg

bei itakua around 200,000 kwa nokia x na 220,000 kwa nokia x+

nokia xl
wapenzi wa simu kubwa nokia anawaletea simu ya android ya inch 5 kwa bei rahisi tu.

specs
-kioo inch 5 wvga
-camera 5mp ya mbele 2mp pamoja na flash
- processor s4 snapdragon na ram 768mb
-4gb internal memory ina na sehemu ya memory card
-ina glance screen pamoja na double tap to awake
-battery 2000mah
-double line
gsmarena_008.jpg

simu hii itauzwa around 240,000

kuhusu android ya nokia
1. imebase kwenye android open source project(aosp) na sio hii ya google
2. android ya nokia haitatumia playstore bali nokia store na third party store kama yandex na amazon
3. android ya nokia haitatumia service za google bali za microsoft na nokia kama vile heremap, onedrive na skype

upatikanaji
hizi feature phone yaani asha 230 na 220 zitapatikana immediately maybe keshokutwa ukazikuta dar,

nokia x itapatikana itapatikana mapema wakati x+ na xl ni hadi mwezi wa 4
taarifa na specs hazijakuwa clear nita update thread kuweka specs sahihi

Kama tulivokua tukisikia rummors. Jamaa wamefanya kweli. Ila suprise kidogo maana wengi walitegemea device moja tu, wajamaa wamtoa device tatu za Android, hafu bei ya kawaida sana. Nokia X na Nokia X+ na Nokia XL.

Nokia X Features za muhimu:
  • Processor: 1GHz dual-core Qualcomm Snapdragon 8225
  • RAM 512MB
  • Kioo: 4" 800x480 IPS LCD capacitive screen ikiwa na 233ppi.
  • Camera: 3MP
  • Battery 1500mAh

Nokia X+ sasa:
  • Processor: 1GHz dual-core Qualcomm Snapdragon 8225
  • RAM: 768MB
  • Kioo: 4" 800x480 IPS LCD capacitive touch display with 233ppi
  • Camera:3MP

View attachment 141299

Nokia XL:
  • Processor: 1GHz dual-core Snapdragon S4
  • RAM: 768MB na internal memory 4GB na unaweza weka memorycard ya 32GB
  • Kioo: 5" (Sijajua bado sifa zake)
  • Camera: 5MP na mbele 2MP
  • Bei: Euro 109: Kama Tsh 250,000
View attachment 141298

Nokia wametoa pia Nokia 220 bei ikiwa ni Euro 19 kama TSh 65,000. Hii simu wanasema inaweza kaa mwezi mzima na chaji kwa standby na masaa 51 ikiwa inapiga music.
 
gud Nokia, Tanzania zitafika lini? nazisubiri
 
Mkuu mimi nazitaka hizo Nokia x na Nokia x+, nitazipataje?
 
Nokia bado ana safiri ndefu sana kama atang'ang'ana WP, si unaona hizi mid-range na simu ndogo ambazo hazitumii WP anavyofanya vizuri
 
Nokia bado ana safiri ndefu sana kama atang'ang'ana WP, si unaona hizi mid-range na simu ndogo ambazo hazitumii WP anavyofanya vizuri

lumia 520 alone imeuza approximately 20+ million units. ukitoa apple na samsung hakuna simu yoyote toka manufacture yoyote aliofikisha hio idadi hivyo wp sio mbaya maybe kwenye flagship ndio inasua sua
 
hii android ya nokia ni kiboko yani kachukua jina tu kama linux wanavofanya..
 
Still sio android kama haitumii store ya android,
Pili ulimwengu ukitumia wote android hakutokuwa na maana ya ushindani
 
Samsung ajipange sasa maana kwa bei hiyo jamaa wameuaaaa yaan zikifika naona ntakuwa wa kwanza kujipatia yangu
leo ilikua ni presentation ya nokia kwenye mobile world congress na kama kawaida nokia hawajatuangusha wakatuletea simu 5 za bei rahisi zaidi.

nokia 220
hii itukuwa kama s40 nyengine simu ya kawaida inayorun app za java na kusuport vitu kama facebook na internet
MNBIMG_3478.jpg

simu hii iyauzwa around 65,000

nokia asha 230
hii ni touch screen ndogo itakayoungana na nokia asha 501, 500, 502 na 503
asha-230-fastlane.png

simu hii nayo itauzwa around 90,000 hadi laki 1

nokia x na x+
simu mbili za android nokia x na x+ zimezinduliwa leo zikiwa na maumbo yanayofanana na kutofautiana storage na memory tu.

zote mbili zitakua na kioo cha inch 4, processor 1ghz dualcore na internal ya 4gb. nokia x ina internal 4gb bila memory card wakati nokia x+ itakua ina memory card. pia nokia x itakuwa na ram 512mb wakati nokia x+ itakuwa na ram 768mb. hivyo kwa wale wanaotumia simu whatsap kupiga na kupokea simu nokia x itawafaa ila wale ambao wanatumia simu kwa mambo mengi nokia x+ itakuwa ni nzuri zaidi.
Nokia-Normandy-Android-phone.jpg

bei itakua around 200,000 kwa nokia x na 220,000 kwa nokia x+

nokia xl
wapenzi wa simu kubwa nokia anawaletea simu ya android ya inch 5 kwa bei rahisi tu.

specs
-kioo inch 5 wvga
-camera 5mp ya mbele 2mp pamoja na flash
- processor s4 snapdragon na ram 768mb
-4gb internal memory ina na sehemu ya memory card
-ina glance screen pamoja na double tap to awake
-battery 2000mah
-double line
gsmarena_008.jpg

simu hii itauzwa around 240,000

kuhusu android ya nokia
1. imebase kwenye android open source project(aosp) na sio hii ya google
2. android ya nokia haitatumia playstore bali nokia store na third party store kama yandex na amazon
3. android ya nokia haitatumia service za google bali za microsoft na nokia kama vile heremap, onedrive na skype

upatikanaji
hizi feature phone yaani asha 230 na 220 zitapatikana immediately maybe keshokutwa ukazikuta dar,

nokia x itapatikana itapatikana mapema wakati x+ na xl ni hadi mwezi wa 4
taarifa na specs hazijakuwa clear nita update thread kuweka specs sahihi
 
Nokia kashituka bado aple nae atagundua tu japo ibaweza kuwa late sana.
 
Still sio android kama haitumii store ya android,
Pili ulimwengu ukitumia wote android hakutokuwa na maana ya ushindani

kaka hakuna store ya android ithink unamaanisha store ya google. hii simu ina uwezo wa kusideload apk hichi ndio cha muhimu zaidi. mfano mimi apps zangu kama freedom na lucky patcher huwezi kuzikuta playstore inabidi nidownload manually. pia kuna 3rd part store kama yandex na amazon nimeshazitumia zina apps nyingi na pia hazina malware sana kama playstore.

kuhusu competition nokia ataendelea na wp alichofanya hapa ni kutengeneza super affordable smartphone sababu wp haijacover price point hii (520 ilikua euro 130). ina maana watu waliokua na laki 2 ilikua ngumu kupata simu ya nokia.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom