Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 30,850
- 40,223
utakuja,
mkuu nimeisoma hio documets na hao jamaa sidhani hata kama wana credibility
1. jina tu lipo ovyo na wanaeka matangazo hadi kwenye documents kama hio tena mwanzo hata kabla ya yaliyomo wanaonesha kabisa jinsi wasivyojielewa.
2. nimewagoogle ni boutique technology firm, sijui wao na lte mahusiano yao yaaingia vipi,
kwa kampuni yote kubwa kama Nokia, samsung, Apple etc hawawezi kuwa na njaa kiasi hicho mpaka official document iwekwe matangazo.
anyway hii ni source yangu
graph la juu nililitoa seeking alpha na linatokana na article one data hapa
Article One Partners and Thomson Reuters Study Shows LTE Patent Leadership Essential for Future of Smartphone Market
achana na mambo ya juzi samsug anamlipa qualcomm na modem zake toka 90s miaka zaidi ya 20 iliopita.
Qualcomm blocked Samsung from selling Exynos processors
dunia ya sasa hutengenezi modem ya simu bila tech za qualcomm,