Kila kitu kuhusu hii simu ni cha kawaida sana, hamna kipya cha kufanya iwe level ya Samsung na IPhone, hata LG, Sony, HTC, One plus, au Xiaomi. Wahenga wanasema" siku njema huonekana asubuhi" na kwa kila simu wanayotoa Nokia 3,5, 6 wanaendele kuniangusha na hiyo Nokia 9 pia haito fanya mapinduzi yoyote.
Kwa nini naiweka kwamba inashindana na hawa mapapa? Ni kwa sababu naona estimate za bei yake kuwa 45, 000 rupees (inatofautiana Nchi kwa Nchi) sawa na 700$ wakati S8 bei ni 750 $. Sasa sielewi hii simu inakitu gani mpaka kuchaji flagship price ya juu kiasi hicho wakati haina kipya:
Nokia 8 Pre-Orders Go Live in UK, Steel Smartwatch Bundled Free
Tukiangalia upande wa display, Samsung ataongoza, sijui mpaka lini maana tofauti na wengine wanao 'subcontract', yeye anatengeneza zake pamoja na LG na Sharp (na kwenye ulimwengu wa OLED ni nuksi) , so HMD Nokia kuwafikia hawa ni impossible maana lazima watanunua kwa mmoja wapo hapo juu na Samsung displays even though LG V30 nae anaingia ulimwengu wa Poled lakini reviews nyingi bado zina sema aifikii ya Samsung (ndio the best evidence) - >
Galaxy S8 OLED Display Technology Shoot-Out hii ina IPS Display ya kawaida sasa bei ya juu ya nini.
Hata hiyo Processor unayo sema ndio the most powerful ndani ya hiyo simu, kama umesahau imetengenezwa na Samsung kwa technology yao ya 10nm
Qualcomm announces Snapdragon 835, built on Samsung's 10nm process ambayo pia wakatumia kutengeneza mashine yao inayo itwa Exynos 8895.... Anyway hata One plus 5 ina hiyo processor but bei ni ya kawaida/affordable.
Kwenye swala la cooling pipe hii simu sio ya kwanza, simu ya kwanza kama 'sijakosea' ilikuwa Samsung S7 na pia S8 ina cooling pipe
Samsung Galaxy S8 to use a heat pipe design similar to the S7 So hamna innovation kwenye hilo pia sasa bei hiyo ya juu ya nini?
Kwenye hiyo Ovo Audio hiyo ni normal feature inayotumika sana kwenye simu nyingi kucapture multi directional audio Samsung anayo implementation similar na hiyo na LG pia kwenye Vseries yake. True audio innovation ipo kwenye QuadDac ya LG V30 huyo ndio king wa audio game kwa sasa
LG V30 - what's new in Audio? But anyway DAC zilizopo kwenye Soc za sasa hivi zipo vizuri kutoa incredible sound even though watu wengi wanatumia headphones cheap so hawato sikia the tofauti yoyote. So pia tumeona hiyo Audio sio innovative feature hence bado sielewi wanachaji hiyo bei kwanini?
Kwenye swala la Camera hapa ndio nawapa SALUTI, Nokia sibishi kabisa maana wakiaamua watatengeneza something great. But hii sidhani kama ndio factor.
Anyway Hitimisho, HMD mwisho wake utakuwa kama kina One Plus, Essential Phone, Pixel (Simu ya enthusiasts) Jukwaa la watu wachache. Simu itapata success kwenye some marketers especially Europe lakini kufanya worldwide splash (na ku move 50 million units) kama Samsung or iPhone hapana!! The logistics kufanya hicho kitu hawana, pia support ; kama unavyoona service centre za Tecno, Samsung au Apple Tanzania nzima Africa nzima, na Dunia nzima, hawana nguvu hiyo. Hii ni kampuni changa sana kwa sasa, proof ni kuangalia simu zao zilivyokuwa underwhelming in innovation lakini wanaweka bei kubwa. Kama argument ni stock Android na fast updates si bora mtu anunue tu Pixel au Pixel 2 upate updates za haraka moja kwa moja toka Google. Game sasa hivi Gumu kuwa na Jina la Nokia alitokubeba kirahisi rahisi.
Ps. Msipende kutaja Samsung na mambo ya kijinga kama HMD.
Sent using
Jamii Forums mobile app