Nokia Fans : Nokia 8 is Out

Vipi ndo unayotumia?
Nimependa display ya 5.7"
nokia-42-2.jpg
u

Dah hata mimi nipo naiwazia hii simu. Ngoja niskilizie wajuzi wataiongeleaje kwanza ndio nijilipue.
 
Mpaka sasa simu yenye audio bora duniani ni nokia 8 ikifuatia htc 11u,
Kwa ujio wa huu ozo audio enhancement wapinzani wa nokia watasubiri sana tunasubiri kwasasa update ya android Oreo kwenye hii simu ambapo watakuja na update ya camera ya nokia lumia UI kitu ambacho kitakuwa bora

Kama camera ya nokia 8 imeweza kushindana na Samsung 8,huawei p10 na htc 11 sipati picha kwa nokia 9 itakapotoka itakuwaje!!
Acha niisubiri hii simu hadi mwakani najua itakuwa imeshuka zaidi niivute
Aisee Nokia ndio ugonjwa wangu. Ngoja zishuke bei
 
Back
Top Bottom