.ipo hiyo nokia E72 ndiyo hii ninayoitumia. Ni pm tuyagange ( bei, 120 000)
.E72 mimi ninayo. Ndiyo hii ninayoitumia. Iko katika hali nzuri tu, nahitaji 75,000 tu. 0715553166
.
.
Mbona hivyo?
mkuu msome vizuri, post ya kwanza ni ya tarehe 27 mwezi wa pili, hii ya leo ni ya tarehe 8mwezi wa tatu. kwa hiyo imepungua toka 120,000 hadi 75,000.!
Si unajua watu wengine wanakurupukaga tumkuu msome vizuri, post ya kwanza ni ya tarehe 27 mwezi wa pili, hii ya leo ni ya tarehe 8mwezi wa tatu. kwa hiyo imepungua toka 120,000 hadi 75,000.!