nokia e71 zina nini..

Slave

JF-Expert Member
Dec 6, 2010
5,314
2,635
wasalam wakuu, nina nokia e71 inagoma kudownload /install app hii ni baada ya kui flash kwa kwa file v.50.21 kwa sasa napata ujumbe unaozikataa certificate,hili ni janga kuna njia rahisi ile ya kurudisha nyuma mwaka hasa 2007 kwa kufanya hivyo mtumiaji anaweza kuendelea kudownload app kama kawaida ila kwa hii nokia e71 imeshindwa kabisa, chief-mkwawa drphone na wakali wa haya makitu nipeni ujanja kwa hili..
 
Last edited by a moderator:
mkuu sio kwamba mwanzo hio simu uliihack then ikawa inainstall apps zote then sasa hv umeinstall firmware mpya/flash ndio maana zinagoma apps.

hebu nenda ovistore kainstall apps yoyote hata opera mini then angalia itakubali?
 
yaani hukoo ovi store ndo kabisa hakuna app yoyote inayo kubali. leo nimeweza kudownload app ya palmchat pekee ndio inayo kubali.
mkuu chief-mkwawa nimegoogle hili tatizo nikaona watu wengi sana linawahangaisha kama kuna njia yoyote unaweza kunielekeza mkuu
 
tafuta cable, pc na software ya nokia suite. conect simu na pc then open software ya nokia suite check update kutakua na patch ya kusolve hio ishu
 
Last edited by a moderator:
chief mkwawa upo wapi?naomba namba yako kwani cm yangu inagoma kuflash ni android celkon a85.ilijilock
 
Cha kufanya badili tarehe weka tarehe ya sasa sio ya nyuma ukiweka ya nyuma certificate haiitambui
 
jf.JPG @chief-mkwawa ona inapo ishia yaani haiendelei zaidi hiyo 8%
 
Back
Top Bottom