Nokia E71 Email hazifunguki | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nokia E71 Email hazifunguki

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Uncle Rukus, Aug 17, 2010.

 1. Uncle Rukus

  Uncle Rukus JF-Expert Member

  #1
  Aug 17, 2010
  Joined: Jun 16, 2010
  Messages: 2,430
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Habari za asubuhi wanaJF?

  Nina simu yangu nokia E71 hapo hawali nilikuwa na fungua email zangu Yahoo/Gmail bila wasi wasi kwa kutumia Browser ya Operamini, wiki mbili sasa siwezi kufungua e-mail zangu hizi mbili kila nikifungua zina sema nimekosea pwd au ID, cha kuchangaza nikifungua kwenye computer Inafunguka vizuri kabisa.

  Na nimejaribu kumpa mtu afungue e-mail yake kwenye simu yangu ikafunguka vizuri tu. sijui hizi E-mail zina matatizo gani, nimejaribu ku-clear cache/cookies na history la kini bado tu hazifunguki kwenye simu.

  Msaada tafadhali
   
 2. Zasasule

  Zasasule JF-Expert Member

  #2
  Sep 8, 2010
  Joined: Aug 12, 2009
  Messages: 1,009
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135

  TOA HIYO OPERA MINI,HALAFU INSTALL TENA brother
   
 3. Kang

  Kang JF-Expert Member

  #3
  Sep 9, 2010
  Joined: Jun 24, 2008
  Messages: 5,121
  Likes Received: 616
  Trophy Points: 280
  Ningekushauri utumie Email Application ya Nokia badala ya kulog in kwenye browser. Kama unataka kutumia hiyo browser jaribu kwenda kwenye settings na ku-clear cache na saved passwords.
   
Loading...