Nokia e61i inahitajika yeyote anayeuza tafadhari

Chantaburi

JF-Expert Member
Feb 23, 2012
749
194
Wadau ninahitaji simu hiyo maana niliyonayo imeharibika lakini nikipata nyingine ntashukuru sana. Nipo tayari kwa bei yoyote ile. karibuni
 
Simu gan haina fm radio wala hai play videos za youtube. Poor nokia, poor E-series & poor E61i.
 
Simu gan haina fm radio wala hai play videos za youtube. Poor nokia, poor E-series & poor E61i.

Okay lakini kwangu sihitaji hivyo unavyovitaka. Hii ni kwa kazi na matumizi maalum tu. Kama unayo niuzie tafadhali. Ninazo smartphones zenye zaidi ya hivyo lakini hazina baadhi ya siri kama e61i.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom