NOKIA Asha Model

NOKIA Asha Model

Mtazamaji

JF-Expert Member
Joined
Feb 29, 2008
Posts
5,937
Reaction score
1,445
Katika kukidhi kiu ya wapenda "gadget" lakini wasiotaka kutumia mkwanjwa mkubwa kununua simu za bei mkubwa (High end)kama Nokia Lumia Nokia wamekuja Model ya asha. Simu za NokiaAsha zinaelezwa kuwa na feature kama Apps zilizokwenye baadhi ya smartpone maarufu

Tech Specs na bei za Asha zikoje ?
Nokia_S40_Wide.jpg


Baadhi ya apps

Kwa gamer Asha(Note sio AshaDii ) zinakuja zikuwa packed na free games kama "Tetris", "Need for Speed, The Run", and "Bejeweled".



NB
Habari hii Imechakachuliwa kutoka Nokia Asha. teh teh
 
Du Hii simu itakua famba hawa nokia hwajafanya upembuzi yakinifu kuhusu soko tanzania na hlo jina mwana_asha?
 
Du Hii simu itakua famba hawa nokia hwajafanya upembuzi yakinifu kuhusu soko tanzania na hlo jina mwana_asha?


kingkong

Sidhani kwenye marketing strategy na cosideration Nokia mashirika mengine makubwa wanaiweka Taanzania au nchi zafrica specfically . Ukisoma habari utaona hasaha wanalenga India, China, Brazil or Mexico.

Labda zile simu za kucharge kwa dynamo ya baiskeli ndio wanaweza kutufkiria kwa sana
 
Katika kukidhi kiu ya wapenda "gadget" lakini wasiotaka kutumia mkwanjwa mkubwa kununua simu za bei mkubwa (High end)kama Nokia Lumia Nokia wamekuja Model ya asha. Simu za NokiaAsha zinaelezwa kuwa na feature kama Apps zilizokwenye baadhi ya smartpone maarufu

Tech Specs na bei za Asha zikoje ?
Nokia_S40_Wide.jpg


Baadhi ya apps

Kwa gamer Asha(Note sio AshaDii ) zinakuja zikuwa packed na free games kama "Tetris", "Need for Speed, The Run", and "Bejeweled".



NB
Habari hii Imechakachuliwa kutoka Nokia Asha. teh teh

Oi hiyo Asha ina minimizer na secondary camera
 
Ni simu nzuri mi nimeinunua nina siku 3 nimeipenda ingawa downloding speed yake sio kubwa kwa mz ni 180,000/=
 
Wakuu nimejaribu kuiuganisha na uduma ya net imekataa. yangu mimi ni nokia 200.
 
Wakuu nimejaribu kuiuganisha na uduma ya net imekataa. yangu mimi ni nokia 200.
EBENEZA MT Umesoma manual na bado umeshindwa kuelewana kuset ? Anyway fuata hatua hizi


In order to set up an internet access point for your Nokia Asha 200, please follow the steps below:




  • Menu
  • Settings
  • Configuration
  • Personal Settings
  • Add (or add new)
  • Internet
  • Edit account name > input operator’s settings
  • Select “No” in use “preferred access point”
  • Access point settings
  • Bearer settings
  • Edit “packet data access point” > input operator’s settings
  • Back 4 X
  • Default config. Settings: select “personal configuration”, and click on “by default”
  • By default in apps: select “yes”

Please ask your operator to send you an SMS for automatic set up. If you have an issue connecting to the internet, you may set up the access point manually as described above.

For further support on internet acces on your device, please contact your operator.

Let us know how you get on and feel free to post any other questions you may have.

chanzo Nokia dsccsuiion
 
Last edited by a moderator:
hahahaha.... Mtazamaji is this for Real? lol. Bado siamini aisee kama sio hio Link. Thanks for the infor Broda.
 
Last edited by a moderator:
Wakuu hivi nokia asha 302 nawez pata kwa bei gan hap Dsm!au link ya anayeuza.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom