Heshima kwenu wakuu nauza simu yangu nokia asha 302,black colour ipo kwenye hali nzuri mwenye kuhitaji anicheki kwenye na 071406130,hapa nilipo ndipo naitumia so nashindwa kuweka link muweze kujua spec zake wala kuipiga picha.atakayekuwa intersted nayo anaweza kuigoogle ila iko poa mno ina whatsapp na mazagazaga mengine. Bei 130,000 nimeitumia miezi 3 tu.