nokia asha 303 ina support whatsapp

nokia asha 303 ina support whatsapp

Mkwanga

Senior Member
Joined
Dec 6, 2010
Posts
146
Reaction score
20
jamani naomba kujuzwa hv nokia asha 303 ina support whatsapp
 
yap inasuport na nafkiri ndio best kwa asha zenye keypad
 
230px-Nokia_Asha_303.png
 
Mkuu whatsapp ndio nini?
Ina umuhimu gani?
Is it a search engine?
Is it like facebook, Twiter, Jamii forum?
How to join it?
Is it costful?

*Ninataka nijue ili na mimi ikiwezekana nijiunge.
 
Asante kaka ila nikiingiza namba baadae inaniambia code sio sahihi cjui shida nn

Ukiingiza namba wao watataka uverify kwa kuingiza code watakayokutumia

Kuna njia mbili kwa sms na kwa kupigiwa simu sasa chagua njia unayoipenda ila nzuri na ya haraka ni kwa kupigiwa simu
 
Mkuu whatsapp ndio nini?
Ina umuhimu gani?
Is it a search engine?
Is it like facebook, Twiter, Jamii forum?
How to join it?
Is it costful?

*Ninataka nijue ili na mimi ikiwezekana nijiunge.

Socio-network
 
whats app ni social network unayo 2 mia phone namba inayokuwezesha kuku unganisha na marafiki wengine wanao tumia whats app pia
 
Mkuu whatsapp ndio nini?
Ina umuhimu gani?
Is it a search engine?
Is it like facebook, Twiter, Jamii forum?
How to join it?
Is it costful?

*Ninataka nijue ili na mimi ikiwezekana nijiunge.

Hyo n mesenger app kama nimbuzz na ebuddy .. But hii ina connect rafk zako kwa contacts za cmuu
 
Back
Top Bottom