NOKIA amefeli sana kwa simu za Lumia WP

Kweli internet sharing kwenye WP ni majanga Mie ilikuwa inakubal mwanzo badala ya kuchange SIM card ikawa chenga nikaamua Ku restore phone ikakubali ila nilivyobadili SIM card ikawa majanga tena,

Kwa upande wa kuforce 3g mwanzo ilikuwa inakubal ila baada ya upgrade to amber hiyo option wametoa

Feature ninayoitaka mostly na haipo kwenye WP ni file manager iliyokamilika.

By the way WP naipenda ipo unique, simple and fast (smooth UI) and I don't think I will move to other platform soon


Sent from my Nokia Lumia
 
Sent from my Nokia Lumia mbna hawa jamaa hawana signature kwenye JF ww umeitoa wap mkuu!?
 
Simu yangu ya mwisho ya Android ilikuwa ni Samsung Galaxy 2. Hiyo ilizimika ghafla bila kuwaka tena. Nikaona nijaribu simu ya Windows. Baada ya kutumia simu za windows, sitarudi tena kwenye Android maana kila kitu kinafanya kazi vizuri bila mizinguo.

Sent from my Lumia phone using Tapatalk
 
mkuu hizo ##3282 haifanyi kazi uki upgrade kwenda W8 ni possible ikiwa na W7.

kaka nimekupa link ya lumia 1020 hakuna simu ambayo ambayo watu wame upgrade toka wp7 kwenda wp8. simu za wp8 ni nyengine na za wp7 ni nyengine hizi ni os 2 tofauti zenye kernel tofauti.
 
kutweak ndo kufanyeje kaka? Na inafanyikaje?

kutweak ni kubadili kitu kidogo ili kifanye vizuri. mfano hapo we huna option ya 3g only ukibonyeza hio namba ukaieka 3g only hapo umetweak.
 
kutweak ni kubadili kitu kidogo ili kifanye vizuri. mfano hapo we huna option ya 3g only ukibonyeza hio namba ukaieka 3g only hapo umetweak.

okay kaka goja nicheki hiyo website vizur!
 

wewe labda simu yako kimeo lumia internet yake ni fast balaa pages zinafunguka ndan ya sekunde
 

Sasa hapo ktk kutweak ndo nataka unieleweshe vizuri. Simu yangu upande wa hotspot inagoma kabsa yani. Ina maana kwamba walishablock mtandao wa nje kama ulivyosema. Naweza kutweak ili kuondoa hili ttzo au kutweak ndo nini hasa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…