NEW NOEL
JF-Expert Member
- May 21, 2011
- 863
- 409
Jamani wadau naomba kuuliza hivi karibuni nikiwa Mjini Morogoro nilikutana na mtu mmoja anauza Nokia 808 na I phone 4S na leo tena nimekutana na mtu Tanga anauza Nokia 808 na I Phone 4S. Sasa ananiambia wanaiba bandarini. Sasa kwa wale wenye ufahamu,ni kweli hawa jamaa wanaziuza hizo simu tu au wanakuwa na mission nyingine.