yani izi simu zenye betri kubwa kupiga shoti ni rahisi sana,kama tecno na infinix ndio zinaongoza kwa kupiga shot saket zake ama display sio nzuri sana izo ni simu africa unaye taka kukaa na chaji siku 5,tena kwa betri za lithium ndio zinazo tunza chaji ila zina piga simu shoti mno.