ChaterMaster
JF-Expert Member
- Aug 17, 2009
- 1,623
- 808
Hz simu kwann hauwez kuweka line 2 na memory zote kwa pamoja
Hz simu kwann hauwez kuweka line 2 na memory zote kwa pamoja
Simu nyingi za Sasa zipo hivyo, Ni njia mpya za kusave cost kwa kuondoa vitu ambavyo watu wanatumia.Hz simu kwann hauwez kuweka line 2 na memory zote kwa pamoja
Sio kweliyani izi simu zenye betri kubwa kupiga shoti ni rahisi sana,kama tecno na infinix ndio zinaongoza kwa kupiga shot saket zake ama display sio nzuri sana izo ni simu africa unaye taka kukaa na chaji siku 5,tena kwa betri za lithium ndio zinazo tunza chaji ila zina piga simu shoti mno.