Nokia 105,nokia1280au samsung ya tochi

Nokia 105,nokia1280au samsung ya tochi

Kilangi masanja

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2013
Posts
4,629
Reaction score
5,262
Ndugu wana JF ,habari za leo naomba msaada nategemea kwenda site ambapo umeme ni shida hvyo naombeni ushauri simu ipi ninunue ambayo inatunza chaji zaidi kati ya nokia 105 AU1280 AU vile vi samsung vyenye tochi. pia ipi ina uwezo wa kufanya comference call ,blacklist na phone tracker?naomba msaada wenu N.B kwa yule ajuaye jina kamil la hicho ki samsung chenye torch na redio anijuze.
 
kaka vya samsung vipo vingi kama vya nokia
1.samsung e1085t
samsung-e1085t.jpg

2.samsung e1207t
samsung-e1085t.jpg

3.samsung e1230
samsung-e1230.jpg

vipo zaidi ya 30 hivi visimu nenda wakala wa samsung utavikuta

ila kama unajali sana battery nunua nokia 105 zipo variety nyingi kubwa yao ni nokia 108 yenye lain 2, bluetooth memory card na redio
nokia-108-dual-sim.jpg

sema na bei yake nayo imeenda shule kama elf 50 hv. nokia 105 unaipata kwa 25,000
 
Ahsante kaka
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom