Msaada kuhusu simu ya samsung

Msaada kuhusu simu ya samsung

Kilangi masanja

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2013
Posts
4,629
Reaction score
5,262
Habari wana jamii ,naomba msaada wenu nimenunua kasamsung toch vile vya tsh 40000 .sikuwah kabisa ku2mia samsung 4n before hvyo kuna vi2 vigeni nimekumbana navyo kama vle fake call,4n tracker hiv v2 m sivijui kabisa pia niktaka kuupdate date &tme nifanyeje pia blacklist yake imeandkwaje NTASHUKURU KWA MSAADA WENU
 
Read the manual my friend..hiyo phone tracker itakusaidia ukipoteza simu kujua atakaekuwa anaitumia.lakini you have to configure it first
 
u sound smart y couldnt u upgrade urself and buy a good phone kuna hata michina ya android ni nzuri tu!!
 
u sound smart y couldnt u upgrade urself and buy a good phone kuna hata michina ya android ni nzuri tu!!

lengo ni cm inayo2nza chaji mkuu mchna ninaye phantom a mtoto watecno xokama wajua nielekeze kama hujui kausha
 
Habari wana jamii ,naomba msaada wenu nimenunua kasamsung toch vile vya tsh 40000 .sikuwah kabisa ku2mia samsung 4n before hvyo kuna vi2 vigeni nimekumbana navyo kama vle fake call,4n tracker hiv v2 m sivijui kabisa pia niktaka kuupdate date &tme nifanyeje pia blacklist yake imeandkwaje NTASHUKURU KWA MSAADA WENU[/QUKwanza ondoa lugha zako za facebook humu tunao uwezo wa kukusaidia ila lugha zako zinatushinda kuzielewa
 
NAShukuru kaka
 
Back
Top Bottom