Nobody knows

Yaani kuagana kweli kugumu mtu anaaga mpaka huku anagonga mti,huyu anakwenda kugongwa na gari,huyu anakwenda kuingiza mguu mtaroni, kuagana kugumu.
 
Ni kweli maana hata kuimaliza sekunde ni kazi ngumu sana,unaaga unamwambia mwanao,nikirudi nitakuja na ada yako,kumbe unarudi maiti au ndivyo sivyo kama ulivotegemea... Nobody knows
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…