Noandoka Tanzania


haya mkuu,kila la kheri,naona umedhamiria...
 
Wewe ulikuja kuiba hapa TZ, na ulikuwa mwizi enzi za JK, ***** JPM kakunyooosha rudi kwenu pumbavuuuuu........

Mahakama ya Mafisadi inafanya nini sasa? Mbona imekufa kibudu?

Mikataba ya kuiba imesainiwa na nyie wanaCCM hapo Lumumba na bado wanaiba

Pesa ya Makinikia iko wapi?

Umbu mbumbu Wahed
 
Afadhai yeye ana uwezo wa kwenda huko nje,wewe utaishia kubalisha sori za viatu kwenda na kurudi lumumba
Vipi hivi ile hela katika ripoti ya CAG iliyopotea hapo ufipa na wewe umefaidika au anakula mbowe pekee huku wewe ukiendelea kuwa mda fish a viatu wake?
 
Ukomavu n kukabiliana na matatzo na sio kuyakimbia, utafka unapokwenda napo kuna matatzo yake uko ndio ata Uhuru wa kuongea hautakua nao na akil itakutuma ukimbie tena, tena na tena
Sikutakii mema wala mabaya pia, ntakukalibisha tena Tz bongo kwa mikono miwil kama mwana mpotevu
 
Mahakama ya Mafisadi inafanya nini sasa? Mbona imekufa kibudu?

Mikataba ya kuiba imesainiwa na nyie wanaCCM hapo Lumumba na bado wanaiba

Pesa ya Makinikia iko wapi?

Umbu mbumbu Wahed
Ati Mahakama ya mafisadi iko inafanya nini? ukiiba ndo utajua kazi yake
 
Wee nenda tu,unataka Rais aipeleke nchi wapi,wakati hata Nyerere kaiacha hapahapa! Hi nchi kwao ni hapa haina safari ya kwenda popote.
Waliondoka wazungu Zimbabwe na Afrika Kusini kwenda Australia. Huko wakakuta mambo magumu si kama walivyozoea Afrika Kusini na Zimbabwe. Kule hakuna wa kumwonea. Walirudi Zimbabwe na Afrika Kusini kwa mlango wa nyuma. Waliobahatika walienda Malawi na Zambia. Ukiondoka uondoke kwa kupanga kuondoka bila uchungu ama jazba. Ukirudi unarudi tu pasipo pressure. Tena huagi kwa sauti kubwa.
 
Mahakama ya Mafisadi inafanya nini sasa? Mbona imekufa kibudu?

Mikataba ya kuiba imesainiwa na nyie wanaCCM hapo Lumumba na bado wanaiba

Pesa ya Makinikia iko wapi?

Umbu mbumbu Wahed
Mkuu vijana wa ccm wameharibikiwa
 
Umerogwa wewe siyo bure
 
Aiii mwaya usiondoke jomoni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…