Hapa ni maeneo ya Dakawa, kuna Noah iliyokuwa imejaza abiria kama kawaida yake imegongana na gari la mizigo. Noah imekua kama chapati, maiti wamepangwa barabarani.
Hata kama Noah zimeruhusiwa kubeba abiria tuwe makini na abiria si busara kukubari kubebwa ktk buti na kujazwa kama maboga! Inatisha na inasikitisha sana!
Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
samahani mkuu dakawa ni wapi? poleni wafiwa wote...
Mkuu, unaripoti kutoka Senegal au Dakawa ya wapi hiyo?
samahani mkuu dakawa ni wapi? poleni wafiwa wote...
Hapa ni maeneo ya Dakawa, kuna Noah iliyokuwa imejaza abiria kama kawaida yake imegongana na gari la mizigo. Noah imekua kama chapati, maiti wamepangwa barabarani.
Hata kama Noah zimeruhusiwa kubeba abiria tuwe makini na abiria si busara kukubari
Yukubebwa ktk buti na kujazwa kama maboga!
Inatisha na inasikitisha sana!
Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
Dakawa ni morogoro region bidada
Dakawa ni morogoro barabara ya dodoma.
Mkuu ilikuwa inatokea Dodoma to Morogoro jamaa akaivaa gari ya mizigo. Hizi Noah majanga bandugu, hakuna level sit.Mkuu ilikuwa inatoka wapi maana ni habari mbaya na wafiwa poleni
Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums