Noah/Voxy Noah 2004, $2700, Cif to Dar

Noah/Voxy Noah 2004, $2700, Cif to Dar

Kwa kuwa hautaki kuwa specific nimekuchagulia gari TOYOTA VOXY 2002
Exchange rate nimechukulia 1620
Used VOXY TOYOTA for Sale | BF206835 | Japanese Used Cars Exporter BE FORWARD

ukitaka REFA bandarrini pia nitafute nikupe namba yake(free kabisa no kupozana na huyo mtu)

CIF US$ 2709............... X1620 =TSH 4,388,580
Taxes + registration................=T SH 4,459,040
Port charges....not more than.. =TSH 250,000
Shipping fees...not more than...=TSH 150,000
Agence fees.......................... =TSH 250,000
Plate number fees..................=TSH 40,000

TOTAL COST:9,537,620

Hapo sijaweka hela ya BIMA ln budget yako ya 10M ni sahihi
shipping charges zinaweza kuwa zaidi kuligana na vipimo vya uzito wa gari
hapo nime assume ni NON-UTILITY CAR(sio la biashara)

SIKU NJEMA NA MAFANIKIO

pia utakuta bei ya gari la 2005 pamoja kuwa cif ni kubwa kwa 900$ kuzidi la 2002 lkn utakuta ushuru wake ni pungufu kwa hiyo hiyo hela
Kaka pls nisaidie namba zako pls,
www.befoward.jp/toyota/voxy/bf206765(LINK HIYO MKUU)
 
vp likiwa la biashara inakuwa juu zaidi kaka au??
maana hiyo gari nataka iwe ya biashara Kaka.
Mungu akufanikishe kwa wema waki na utu wema saana.
namaliza semina then naja dar soon just for that.
 
Kweli mkuu Njunwa ni hapo bforward

COST APROXIMATION FOR FORD ESCAPE 2001

CIF US$ 3,616............... X1620 =TSH 5,857,920
Taxes + registration................=T SH 4,881,787
Port charges....not more than.. =TSH 250,000
Shipping fees...not more than...=TSH 150,000
Agence fees.......................... =TSH 250,000
Plate number fees..................=TSH 40,000
JUMLA .............................. ..=TSH 11,429,707

We andaa 12M kabisa
 
Nashukuru sana mkuu
 
vp likiwa la biashara inakuwa juu zaidi kaka au??
maana hiyo gari nataka iwe ya biashara Kaka.
Mungu akufanikishe kwa wema waki na utu wema saana.
namaliza semina then naja dar soon just for that.

Yaah lkn hiyo gari sio specifically kwa ajili ya biashara hope huo ndo ushuru lkn andaa kidogo ya hapo maana kuna vilaki vinaweza kuongezeka na ukizingatia BIMA sijaweka hapo
we just agiza gari na unawambia ni lako binafsi tu
Hilo la mwaka 2005 nshaachana nalo umechelewa lkn ukiona ilo liko ok kwako nunua hilo hilo la 2004
 
Mkuu unaweza nosaidia Namba yako tafadhali,for proper use,
Nkija dar tuonane tafadhali.
 
Mm ni vigumu kuniona ila ntakupa number ya jamaa anafanya bandarini anaweza kukusaidia na ni member jf mm amenisaidia sana na ni just tumekutana jf hatujuani

Lkn na wewe tafuta mtu wa kukupa direxn maana wakati wa kulipa Bank ni wewe tu yeye atakusaidia bandarini tu
Hivo kama haujawai kufanya import za gari ulizia uwe na full knownledge jinsi ya kufanya malipo

Nicheki PM nikutupie namba ya huyo mtu
 
Nakuomba nipe link ya gari unalotaka kununua kutoka nje nikupigie hesabu za ushuru najua wengi watakujambisha

N.B Magari yote kuanzia mwaka 2004 na kushuka kama lako hilo ni vyuma chakavu hivo ushuru uko juu

Kwakuwa bajeti yako ni dogo badirisha mawazo utafute noah ya 2005 ambayo rate yake kuwa taxed ni 70% wakati chakavu ni 80%

Nakusubiri nikupe msaada

note:la 2005 ni CIF $3500

Kwa kuwa hautaki kuwa specific nimekuchagulia gari TOYOTA VOXY 2002
Exchange rate nimechukulia 1620
Used VOXY TOYOTA for Sale | BF206835 | Japanese Used Cars Exporter BE FORWARD

ukitaka REFA bandarrini pia nitafute nikupe namba yake(free kabisa no kupozana na huyo mtu)

CIF US$ 2709............... X1620 =TSH 4,388,580
Taxes + registration................=T SH 4,459,040
Port charges....not more than.. =TSH 250,000
Shipping fees...not more than...=TSH 150,000
Agence fees.......................... =TSH 250,000
Plate number fees..................=TSH 40,000

TOTAL COST:9,537,620

Hapo sijaweka hela ya BIMA ln budget yako ya 10M ni sahihi
shipping charges zinaweza kuwa zaidi kuligana na vipimo vya uzito wa gari
hapo nime assume ni NON-UTILITY CAR(sio la biashara)

SIKU NJEMA NA MAFANIKIO

pia utakuta bei ya gari la 2005 pamoja kuwa cif ni kubwa kwa 900$ kuzidi la 2002 lkn utakuta ushuru wake ni pungufu kwa hiyo hiyo hela

Kiongozi njunwa wamavoko

Mimi sio mtaalam wa tra lakini nimeangalia hesabu ulizompigia KAKAO hapo juu nadhani kuna mahali utakuwa umepotoka kidogo.
Kwa mujibu wa calculator ya tra (see below), Noah/Voxy ya 2004 kushuka chini atalipa ushuru unaokadiriwa sh 4,460,000 (ex. rate 1620)

[TABLE="width: 417"]
[TR]
[TD="colspan: 3"]GUIDELINE SUBJECT TO VERIFICATION[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="colspan: 2"]Current Retail Selling Price..................[/TD]
[TD]29,039[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="colspan: 2"]Depreciation..................................[/TD]
[TD]80%[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="colspan: 2"]Freight[/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="colspan: 2"]Customs value..................................[/TD]
[TD]3,000[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="colspan: 2"]FOB Value........................................[/TD]
[TD]3,000[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="colspan: 2"]Import Duty 25%...............................[/TD]
[TD] 750[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="colspan: 2"]Excise Base for vehicle aged more than 10 years..........................................[/TD]
[TD] 937[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Excise Base.....................................[/TD]
[TD][/TD]
[TD]3,750[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="colspan: 2"]Excise Duty 5%................................[/TD]
[TD] 187[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="colspan: 2"]VAT Base........................................[/TD]
[TD]4,875[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="colspan: 2"]VAT 18%........................................[/TD]
[TD] 877[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="colspan: 2"]Total Taxes....................................[/TD]
[TD]2,752[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="colspan: 2"]Total Taxes in TSHs.........................
[/TD]
[TD]4,459,040
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

Other charges kwa tra:
Registration tax................................ 150,000
Annual Licence Feee (1501-2500cc)..... 200,000
Fire Inspection Fee............................ 30,000

tra pekee watakamua Shs. 4,839,040 which is tallying with my initial estimate at SHS 4,970,000 (shipping line cost inclusive). KAKAO ikitokea ukafanikiwa kulipa tra SHS 4,459,040 (tax + registration) nicheck kwenye namba yangu nikutoe na SHS 50,000 ya mafuta (not a joke).

Kwa gari ya 2005 tra watachukua kiasi kisichopungua SHS 3,580,000 (tax + reg), sasa hapo angalia price difference kisha fanya maamuzi.

Otherwise there is NO MAGIC, fungua Tanzania Revenue Authority - Calculators & tools
Pakua valuation calculator.

At day end, Ukimtegemea Mungu huwezi KUJAMBISHWA
 
Ni mule mule kaka kama umesoma note yangu ya nwisho nimesema kuna variation za shipping line kulingana na uzito wa Gari
Na nimesema BIMA nime exclude
Hiyo registration KAKAO iondoe niliisahau kaka lkn TAX ni hiyo hiyo

Kwa budget yako ya 10M iko poa sana
Pia kama mdau alivyoshauri Mr kakao ushuru wa Gari la mwaka 2005 uko chini zaidi na umezidi hadi ile difference ya Gari la 2002
RealMan asante kwa kubainisha hiyo error ndogo

Pia kama hauto MIND waweza nielimisha hayo malipo ya driving licence zote naana sina knownledge hapo
 
Last edited by a moderator:
Pia kama hauto MIND waweza nielimisha hayo malipo ya driving licence zote naana sina knownledge hapo

Kwa ninavyokumbuka Annual Licence fee ziko hivi:

1. 501 - 1500cc.........100,000 + 20,000 Fire
2. 1501 - 2500cc........200,000 + 30,000 Fire
3. 2501cc - above......250,000 + 40,000 Fire

Registration fee ni moja kwa CC zote SHS 150,000

Pamoja Daima.......
 
Ndugu zangu nawashukuu mmmno,Mungu mwema awatie nguvu na mafanikio makubwa kwa kutumia muda wenu kutoa elinu njema kwa wengine,
Hakika namshukuru saana Mungu Baba kwa ajili yenu ndg.zangu.
@
NJUNWA,REALMAN, SAID,NENO 1 and so forth
 
Back
Top Bottom