Ndugu zangu wapendwa,
Ninao unyenyekevu sana kumshukuru Mungu baba kwa ajili yenu, bila shaka wazima kabisa,
Naomba msaada, hivi gari ya Noah/voxy yenye CIF ($2700) to Dar port ni shilingi ngapi hadi kuikomboa? Kwa maana ya kulipia kila kitu kuanzia TRA na Bandari.
NOTE:
cc 1990.
Naomba muongozo tafadhali nina Mil.10,500,000/= sina uhakika kama zinatosha.
Asanteni,MUNGU MWEMA AWABARIKI.