SOLD: Noah voxy inauzwa bei sawa na bure

Status
Not open for further replies.
Kila la kheri mkuu maana haya magari yakishaanza kuchemka ndio uuzaji huu wa hasara,maana mimi voxy yangu ilifikia muda uko ndani ya gari utafikiri upo kwenye mashine ya kutotoleshea vifaranga nikaitupa kwa mil. 5 tu
Unajua waafrika na hasa hasa watanzania ni watu wasio waaminifu kabisa kwenye biashara. Mtu anauza gari utakuta lina kero fulani lakini anaamua kuficha (Nieleweka sijui chochte kuhusu gari linalouzwa kwenye thread hii ila nasema kutokana na uzoefu tu). Kwa nini tusiwe wakeli ili mnunuaji ajue ananunua kitu chenye tatizo X na atakishughulikia kw njia Y?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom