SOLD: Noah voxy inauzwa bei sawa na bure

Status
Not open for further replies.

Rich Forever

JF-Expert Member
Oct 21, 2017
467
469
Gari inauzwa Noah toyota voxy T 703 DDP gari limetembea kilomita 131152 lipo kwenye hali nzur sana

Gari linapatikana mwananyamala manjunju

Bei ni shilingi million 6 kamili.

Mawasiliano

0719590756

IMG_0897.JPG
IMG_0901.JPG
IMG_0904.JPG
IMG_0905.JPG
IMG_0900.JPG
IMG_0897.JPG
 
Kila la kheri mkuu maana haya magari yakishaanza kuchemka ndio uuzaji huu wa hasara,maana mimi voxy yangu ilifikia muda uko ndani ya gari utafikiri upo kwenye mashine ya kutotoleshea vifaranga nikaitupa kwa mil. 5 tu
 
Hahaha pole sana mkuu
 
Hivi haijajulikana sababu ya haya magari kuchemsha?
Kila la kheri mkuu maana haya magari yakishaanza kuchemka ndio uuzaji huu wa hasara,maana mimi voxy yangu ilifikia muda uko ndani ya gari utafikiri upo kwenye mashine ya kutotoleshea vifaranga nikaitupa kwa mil. 5 tu
 
Kila la kheri mkuu maana haya magari yakishaanza kuchemka ndio uuzaji huu wa hasara,maana mimi voxy yangu ilifikia muda uko ndani ya gari utafikiri upo kwenye mashine ya kutotoleshea vifaranga nikaitupa kwa mil. 5 tu
haha zinachemshaga sana hizi voxy yupo jamaa ameinunua voxy tena namba B aisee sioni hata akiendesha zaidi ya kuitupa kama wewe
 
Status
Not open for further replies.
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom