N NOSVELA Senior Member Joined Oct 24, 2012 Posts 198 Reaction score 27 Jun 15, 2013 #1 Wakuu nauza townace noah yangu ambayo ni private ila ilishapiga kazi ya abiria ni nyeusi odo 190,000km namba a, bei 5ml, inatembea naitumia kwa kazi zangu zamizigo ya dukani
Wakuu nauza townace noah yangu ambayo ni private ila ilishapiga kazi ya abiria ni nyeusi odo 190,000km namba a, bei 5ml, inatembea naitumia kwa kazi zangu zamizigo ya dukani
Scofied JF-Expert Member Joined Jun 5, 2012 Posts 2,456 Reaction score 1,692 Jun 15, 2013 #3 weka picha tuione?
N NOSVELA Senior Member Joined Oct 24, 2012 Posts 198 Reaction score 27 Jun 15, 2013 Thread starter #4 Iko arusha mkuu picha kesho naweka uhakika yani
muuza ubuyu JF-Expert Member Joined Nov 23, 2010 Posts 3,543 Reaction score 3,597 Jun 16, 2013 #5 Mkuu NOSVELA, wahi mkuu tuuone mzigo! NOSVELA said: Iko arusha mkuu picha kesho naweka uhakika yani Click to expand...
Mkuu NOSVELA, wahi mkuu tuuone mzigo! NOSVELA said: Iko arusha mkuu picha kesho naweka uhakika yani Click to expand...
vivios JF-Expert Member Joined Jan 4, 2013 Posts 244 Reaction score 9 Jun 16, 2013 #6 Ila jf bwana watu wanaMambo mkuu watabagain hadi bei alafu wanaingia mtini .yan ni balaaa
M mompome Senior Member Joined Mar 28, 2012 Posts 145 Reaction score 40 Jun 26, 2013 #7 Kama bado ipo naomba tuwasiliane 0786926276 nosvela said: wakuu nauza townace noah yangu ambayo ni private ila ilishapiga kazi ya abiria ni nyeusi odo 190,000km namba a, bei 5ml, inatembea naitumia kwa kazi zangu zamizigo ya dukani Click to expand...
Kama bado ipo naomba tuwasiliane 0786926276 nosvela said: wakuu nauza townace noah yangu ambayo ni private ila ilishapiga kazi ya abiria ni nyeusi odo 190,000km namba a, bei 5ml, inatembea naitumia kwa kazi zangu zamizigo ya dukani Click to expand...
M Massawe G. I Senior Member Joined Jul 24, 2012 Posts 113 Reaction score 13 Jul 22, 2013 #8 Nipigie Tuongee 0755883313