Umuhofia kwenuuu!, Wakuu nimepata vijisenti vya korosho nataka ninunue hiyo gari Toyota Noah field tourer naamini kwa maeneo yetu itafaa. Kama nakosea munisahihishe. Nawasilisha madongo na vichambo ni ruksa hasa kwa muliokulia uswazi
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.