Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 97,929
- 141,885
NN utajiri bongo lazma uoe wake wengi au uweke concubines kibao. Unyang'anye mali wengine, uhame mtaa, ununue magari mapya, uimbwe kwenye live band...hiyo ndo "keep your home simple" bongo
hizo tips za ku save money sie wengine ndo maisha ya kawaida mbona?
hebu leteni tips to save money for an odinary guy ...........hizi za kuwa uache kununua yatch hata ndotoni hazipo mbona!
[I believe more in the principle of being frugal in some areas and spending in others. After all what is the point of working hard if you don't spend your earnings in pleasuring yourself! of course within reasonable limits.
Sometimes you've got to use your common sense. Nobody knows your financial situation better than yourself. After balancing your checkbook you'll know how much you have left. So why spend money on big ticket items if you know they are going to put you in a crunch?If the whole point of the article is to press the point on living within means, we got it but I would have been happier if the tips on how to be frugal were more applicable to middle class people at least.
matajiri wakubwa duniani, carlos slim helu na warren buffett wanaishi kwenye nyumba walizozinunua miaka 40 na kitu iliyopita wakati walipokuwa siyo matajiri kama walivyo sasa. Soma hiki kipande:
1. Keep your home simple
billionaires can afford to live in the most exclusive mansions imaginable -- and many do, including bill gates' sprawling 66,000 square foot, $147.5 million dollar mansion in medina, wash. -- yet frugal billionaires like warren buffett choose to keep it simple. buffett still lives in the five-bedroom house in omaha that he purchased in 1957 for $31,500. Likewise, carlos slim has lived in the same house for more than 40 years.
what we can learn
some of the world's billionaires have frugal tendencies. perhaps this thrifty nature even helped them make some of their money. Regardless, they have chosen to avoid some unnecessary spending (at least on their scale) and the 6,864,605,142 non-billionaires out there can follow suit, eliminating excessive, keep-up-with-the-jones style spending. no matter what a person's income bracket is, most can usually find a way to cut back on frivolous spending, just like a few frugal billionaires.
Kwa habari zaidi juu ya matumizi ya hawa mabilionea na wenzao bofya hapo - tips-from-frugal-billionaires: Personal finance news from yahoo! Finance
Umenichekesha Gaijin lol......hizo tips za ku save money sie wengine ndo maisha ya kawaida mbona?
hebu leteni tips to save money for an odinary guy ...........hizi za kuwa uache kununua yatch hata ndotoni hazipo mbona!
Kwa kifupi kuwa watu wanatumia pesa nyingi sana siyo ati kwa vile wanapenda bali ni kutokana na ulazima
Walevi wanaounguza pesa zao kwenye mabaa na kwenye mavilabu hufanya hivyo kwa ulazima gani?
Na kutumia pesa kwenye mambo ya ulazima si "wasteful spending". Kama huwezi kuweka akiba basi hiyo ina maana wewe mazingira yako hayakuruhusu kufanya hivyo. Lakini pale yanapokuruhusu na wewe unaishia kutumia hela zako hovyo hovyo tu bila kuweka akiba, hiyo ndiyo "wasteful spending".
Many Tanzanians do not save because their incomes are too low, so there is nothing to save.
But there are also many Tanzanians who could save something regularly and make their retirement a bit more comfortable/financially secure, but they don't do it. The saving culture among such people needs to be encouraged.
WOS bado zipo njia za vya kubana matumizi hapa na pale hasa kwa wale wenye uwezo mkubwa.
ngoja tuangalie katika mazingira hayo uloyataja.....
Baada ya kulazimika kununua hiyo nyumba kubwa, basi tenga angalau kona ndogo ya uwanja wako wa bustani kupanda mboga mboga na hata migomba miwili mitatu kuokoa pesa ya matumizi ya chakula.
Kama ulilazimika kuwa na gari yako, fanya trips za sokoni (sio lazima super market kwa kuwa sokoni ni bei nafuu zaidi) mara moja kwa mwezi au mara mbili kupunguza idadi ya safari za manunuzi na kuchoma mafuta kusikokuwa na ulazima.
asilimia 10 ya bili yako ya umeme inasemakana inatokana na vitu vilivyoko standby......zima kabisa na punguza matumizi ya mwanga wa artificial wakati wa mchana ( tatizo hili watanzania wengi tunalo).
nafikiri ziko njia nyingi tu ambazo tunaweza kupunguza gharama ya matumizi yetu.
Hapo kwenye bold..hebu tupajadili kidogo.....
Baada ya kazi na majukumu, mtu nategemewa upumzishe akili kwa kufanya shughuli za burudani kama vile michezo na hata mazoezi ( golf, tennis, squash, kwenda gym etc hufanyika zaidi huko ughaibuni..bongo pia zipo lakini ni kwa watu maalum).Ungeweza hata kusema usiende gym au kucheza michezo expensive na badala yake utembee tu.... utatembea wapi ndugu yangu ilhali njia zenye siyo salama?
Hii ina ukweli kiasi. Lakini bado open spaces zipo nyingi tu. Mbona mimi naendaga kukimbia...nina sehemu yangu mwenyewe. Ukiwa resourceful huwezi kushindwa kitu bana.Ukiangalia TZ, viwanja vya michezo kwanza vilishavamiwa na kuuzwa - havipo.
Ukweli ni kuwa si kila mtu mazingira yatamruhusu kwani hata majuu nako ni hivyo hivyo. Kuna watu hawana muda kabisa. Na hayo ya foleni unayoyazungumzia wewe ni Dar tu. Huko kwingine hakuna congestion. Kwetu Ikungulyabashashi open spaces kibao....lakini you'd be hard pressed to find anyone working out besides myself :becky:. Mimi hoja yangu kuu ni kama mazingira yako yanakuruhusu kwa nini usifanye mambo yaliyo chanya?Ukirudi nyumbani kuna kero zake lol... unakaa nyumba ya kupanga na watu kibao mmejisqueeze kwenye vyumba na siyo hata nyumba. Kwa wenye nyumba, hadi ufike nyumbani foleni itakuweka masaa kadhaa.
Kushinda vilabuni ni lame excuse. Mtu anayefanya kazi chuo kikuu kwa mfano na anaishi Makongo au Savei au hata Ubungo anaathirika vipi na congestion? Ukiniambia mtu anayefanya kazi mjini na anaishi Mbezi beach huko hapo nitakuelewa. Lakini kuna watu wengi tu ambao mazingira yanawaruhusu lakini bado hawana utamaduni wa kutumia pesa zao kwa busara.Wengi wameamua kushinda vilabuni ambako pesa huteketea.Again point yangu ile ya mwanzo ya ukosefu wa infrastructure ya ku support savings bado ni valid.
See now, it can be done somehow/ someway if one puts their mind to it.Hata hivyo watu wanajiwekea akiba bado - wamewekeza kwenye biashara ndogo na kubwa, wamenunua hisa ( lol), wanapeleka watoto wao shule nzuri kuondokana na utegemezi, nk.
WOS bado zipo njia za vya kubana matumizi hapa na pale hasa kwa wale wenye uwezo mkubwa.
ngoja tuangalie katika mazingira hayo uloyataja.....
Baada ya kulazimika kununua hiyo nyumba kubwa, basi tenga angalau kona ndogo ya uwanja wako wa bustani kupanda mboga mboga na hata migomba miwili mitatu kuokoa pesa ya matumizi ya chakula.
Kama ulilazimika kuwa na gari yako, fanya trips za sokoni (sio lazima super market kwa kuwa sokoni ni bei nafuu zaidi) mara moja kwa mwezi au mara mbili kupunguza idadi ya safari za manunuzi na kuchoma mafuta kusikokuwa na ulazima.
asilimia 10 ya bili yako ya umeme inasemakana inatokana na vitu vilivyoko standby......zima kabisa na punguza matumizi ya mwanga wa artificial wakati wa mchana ( tatizo hili watanzania wengi tunalo).
nafikiri ziko njia nyingi tu ambazo tunaweza kupunguza gharama ya matumizi yetu.