No wonder bei ya petrol na diesel iko juu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

No wonder bei ya petrol na diesel iko juu

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Njowepo, Mar 21, 2011.

 1. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #1
  Mar 21, 2011
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,296
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Leo nimepokea kwa masikitiko juu ya demurrage ya meli za mafuta bandari ya DSM ni dola 18000 ambayo ni sawa na kama 27.3million za kitanzania ie todays evening news
  Kisa hakuna boya kwa ajili ya kulikabili ilo as a result kuna meli zinakaa kusubili kushusha mafuta sometimes mpaka mwezi mzima ni kama 800mil sasa unatarajia bei ya mafuta ishuke.
  Kumbe mambo mengine ni yetu uku uku Tz hayahusiani kabisa na bei katika soko la dunia.
  According to tipper meli kukaa mwezi mzima ni jambo la kawaida.
  Wadau husika work on that please izi bei za mafuta zinazopaa kila siku hatutafika.
   
 2. Kabembe

  Kabembe JF-Expert Member

  #2
  Mar 21, 2011
  Joined: Feb 11, 2009
  Messages: 2,236
  Likes Received: 928
  Trophy Points: 280
  Nchi iko likizo ni mpaka hapo Watanzania watakapojitambua
   
 3. a

  african2010 Member

  #3
  Mar 22, 2011
  Joined: Mar 31, 2010
  Messages: 95
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 15
  Bado nalifanyia kazi.
   
Loading...