no sweet without "sweat"

Scorpio Me

JF-Expert Member
Aug 2, 2016
6,119
7,933
61c1d1850e230ef4ea114c8c6c8fa70a.jpg
 
Haahaaahaa, noma kweli kweli ameweza kuwa wa kimataifa lakini hawezi kufanana na wakimataifa.
 
aisee ngoja nitafute video niangalie mwenyewe!
Maana wabongo kwa kufanya editing tu hawashindwi
 
Duh! Hiyo ilitakiwa ibebwe na Timu ya Taifa, ila kwa bongo mmmh!
 
Hii ilikuwa kabla hajatoka enzi zile za wimbo wa vibagia au recent? kama ni siku hizi amechemsha ustaa na fedha una maana kubwa asisahau kushughulikia na hili maana kwa jina lake sasa hivi hali hii haipaswa kutokea.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom