MzalendoHalisi
JF-Expert Member
- Jun 24, 2007
- 4,520
- 1,368
Hata mimi sikubaliani na mambo haya hasa ukianagalia kuwa kuwa:
Rais Jakaya Kikwete
Makamu Mohammed Shein
Waziri Mkuu Edward Lowassa
Jaji Mkuu Augustino Ramadhani
Spika wa Muungano Samuel Sitta
Spika wa BMZ Pindu Kifichu
Mkuu wa JWTZ Mwamunyange
Mkuu wa Polisi Said Mwema
Mkuu wa Magereza ..
Kwenye Uongozi wa CCM
Mwenyekiti
Makamu wawili
Katibu
Manaibu Katibu
Mweka Hazina
..
Yaani hakuna nafasi hata moja ya hizo ambazo mama/dada zetu wanaweza kuzifanya?
JF kwenyewe kuna problem ya gender representation, but I also guess sensitivity. Wanawake hapa hawafiki 10, but who is to blame?
PS: Nchi za ulaya sasa hivi wanatunga sera za kuwa-empower wanaume maana karibu kila sector wanaume wapo underrepresented. So, it is a matter of time, maybe!
Pia hapa UK mashuleni wanawake wanapasua ile mbaya, wanaume wanahitaji msaada zaidi maana wanasua sua.
Hata TZ tukiwapa nafasi watafanya vizuri sana ila tuache kuwaambia wamefaulu au kupanda vyeo kwa marks za cxxxx.
Hata kwenye utendaji, wanawake sio mafisadi kama sisi wanaume.
Hawahitaji kutunza nyumba ya pili.
Ndio maana mimi mwaka 2015 nitamuunga mkono mwanamke, I hope kutakuwa na mgombea mwanamke.
Hivi mama Mongella angeamua kuweka jina lake angeweza kuwatikisa kina baba kidogo?
MKJJ,
Hii kali! Hizi nafasi za kisiasa- za CCM. Hata upinzani pia siwaoni. Ila ktk top management ya taasisi kubwa kama TRA, BoT n.k in 2007 ni vigumu kuamini kama hakuna mwanamke Tanzania mwenye uwezo to contribute in top management decisions!
Fumbua macho. Makamu mwenyekiti wa NCCR sio mwanamke jamani? Wagombea wenza wa CHADEMA na TLP walikuwa wanawake hivyo wangeshinda leo tungekuwa na makamu wa Rais mwanamke. CCM je? Chama Cha Madume, husikiagi wanajiita chama dume?
Asha
1. Hope that you are not defending women gross under represenation at TRA. It is true though Chair of Board is a lady from FACM -UD. Mimi naongelea day to day management team of TRA- 13 directors- no one is a woman. Angalia tena hayo majina hapo juu- kama huamini.
2. Sasa kama Chair wa Body ni mwanamke- wa UD, ameshindwa hata kushawishi angependa kuona hata 1 or 2 ladies in the team? Mimi nadhani wako wanawake competent TRA sema serikali ya JK haijaamua kuwapa nafasi.
Mimi siongelei Board Members TRA naongelea Management Team ya ndani ya TRA
Jamani weeee, mbona mi nakuunga mkono. Mi nataka hata Kikwete atupishe. Tunaweza. Yeye anacheka cheka tu pale. Na huyo mama kama anashindwa kutuwakilisha vizuri kama mwenyekiti naye apishe. Hao TRA hawajifunzi tu?
Asha
1. Hope that you are not defending women gross under represenation at TRA. It is true though Chair of Board is a lady from FACM -UD. Mimi naongelea day to day management team of TRA- 13 directors- no one is a woman. Angalia tena hayo majina hapo juu- kama huamini.
2. Sasa kama Chair wa Body ni mwanamke- wa UD, ameshindwa hata kushawishi angependa kuona hata 1 or 2 ladies in the team? Mimi nadhani wako wanawake competent TRA sema serikali ya JK haijaamua kuwapa nafasi.
Mimi siongelei Board Members TRA naongelea Management Team ya ndani ya TRA
Nampongenza Rais kwa kuliona hilo na kuwapa wanawake wengi Wizara nyeti.