No serious this is too much

No serious this is too much

Kwakweli hali sasa hivi ni mbaya si mjini wala vijijini.

1. Hawa mabinti wa kati ya miaka 19-30 hawanyimi mtu yoyote penzi hata muwe group marafiki wangapi mkitaka kila mmoja atapewa penzi kwa wakati wake. Naomba sana madada msije mka generalize majibu ya hii mada ni ukweli kwamba kuna tatizo na hili ni janga tunatakiwa tuangalie tuwasaidiaje wadogo zetu au watoto wetu. Na kumbuka hapa siongelei machangu doa wanaojiuza bali ni mabinti either wanaosoma hata wanaofanya kazi.

Kuna nini kimetokea???????

mkuu wako wapi hao na mi nikatoe bikra yangu... maana natoswa hadi najistukia
 
pamenishinda hapa........:llama:tumboo njoooooo huku
 
tofauti na zamani ni moja tu, sasa wanafanya kwa uwazi. Hizi ndio changamoto za kuweza wakajiwezesha.
 
Hali ya uchumi wa nchi umeyumba
Sasa hiyo ni biashara
 
Kwasisi ambao ni wazazi nahisi kuna kitu tunatakiwa kufanya either kutowa mafunzo ya uwazi kwa watoto wetu au labda na mashuleni kwasababu kweli ni hatari mpaka inatia huruma jamani
 
haya mambo yapo tokea kitambo.... shida inakuja ni pale yanasambaa sana kwasababu ya utandawazi... sio wanawake pekeyao wanaofanya hivyo hata wanaume pia... vichocheo vipo vingi sana kwa sasa kwa kila mtu....
 
Tatizi la siku hizi hawajifichi............

na wewe ukiwapata walee tu ,,,, kwani hamna namna ya kuwanusuru , wameshaonja utamu wa dudu.
 
Kwa kweli hali sasa hivi ni mbaya si mjini wala vijijini.

1. Hawa mabinti wa kati ya miaka 19-30 hawanyimi mtu yoyote penzi hata muwe group marafiki wangapi mkitaka kila mmoja atapewa penzi kwa wakati wake. Naomba sana madada msije mka generalize majibu ya hii mada ni ukweli kwamba kuna tatizo na hili ni janga tunatakiwa tuangalie tuwasaidiaje wadogo zetu au watoto wetu. Na kumbuka hapa siongelei machangu doa wanaojiuza bali ni mabinti either wanaosoma hata wanaofanya kazi.

Kuna nini kimetokea?

wewe vipi? hao ndio machangudoa wenyewe....
 
Back
Top Bottom