No sensa

Mkilazimisha sana watahujumu takwimu..........mtu wa miaka 30 atasema 40, au kuongeza idadi ya waislamu walio nje ya nchi etc............
watahesabiwa watake wasitake ipo mbinu yao ya kuwabana
 
Hivi kuliko kupiteza pesa si wachukue idadi ya vteti vyw kuzaliwa wa minus idadi ya death certificate wanapata idadi ya watu wanayotaka....wasituchoshe bana
 
huu mtego rahisi sana. Wasipohesabiwa tutafahamu idadi ya wakristo nchi hii kwa urahisi. Watakaohesabiwa ndiyo watakuwa wakristo by default na tutaminus toka kwenye present estimates za 43m tutajua waislamu ni wangapi. Very simple equation! Na wasijetuambia kuna mamluki kwani wao wameshatangaza hawahesabiwi
 
Kwa nini isitangazwe kwamba wakati wa zoezi la sensa serikali itatoa ubwabwa, pilau, kashata na kahawa? Hiyo ni mbinu pekee itakayowavuta hao jamaa.
 
huu mtego rahisi sana. Wasipohesabiwa tutafahamu idadi ya wakristo nchi hii kwa urahisi. Watakaohesabiwa ndiyo watakuwa wakristo by default na tutaminus toka kwenye present estimates za 43m tutajua waislamu ni wangapi. Very simple equation! Na wasijetuambia kuna mamluki kwani wao wameshatangaza hawahesabiwi

So simple as you think!
 
Mkubwa hujui maisha ya tz nini au upo nje ya nchi?ngoja nikujuze watz wengi hawana hivyo vyeti na wala hawafuatilii zaidi hivyo vya vìfo
 
Wanaopinga sensa si wa dini yetu. Dini yetu inakukubaliana na sensa, kwa kuwa sensa ilikuwepo tangu enzi za mitume, na mitume waliheshimu sana sensa. kwa hali hiyo, kila anayepinga sensa, anapinga maelekezo ya mitume waliotangulia. Msituhukumu wengi kwa mawazo ya waasi wachache.
 
Mimi nikiwa kama msimamizi wa kanda katiaka sensa nasema kila mtu atahesabiwa wait and see
 
Back
Top Bottom