PreGE2025 No Reforms No Election yaingia Mbozi, Maelfu Wajitokeza Kuunga Mkono

PreGE2025 No Reforms No Election yaingia Mbozi, Maelfu Wajitokeza Kuunga Mkono

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Sumu ya nyigu alikuwepo
Huyu hapa akiwasalimia wananchi

Screenshot_2025-03-28-16-41-40-1.png
 
Lakini mwisho wa siku lazima CCM inaibuka mshindi, hilokila mTanzania anafahamu hadi viongozi wa CDM, kikubwa wapambane wapate karuzuku kazuri..

Mimi hii siasa ndio maana nimeacha hata kuzifuatilia..
Ndugu unaelewa maana ya "No Reforms, No Election"!!??
 
Back
Top Bottom