No Reforms No Election(NRNE) wa Mynanmar kufungwa hadi miaka 10

No Reforms No Election(NRNE) wa Mynanmar kufungwa hadi miaka 10

Yoda

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2018
Posts
57,243
Reaction score
90,302
Utawala wa kidikteta wa Mynanmar umeptisha sheria kali kwa watakaopinga uchaguzi ww nchi hiyo mwishoni mwa mwaka huku ukiweka sheria mbalimbali za vifungo kuanzia miaka mitatu hadi kumi kwa makosa mbalimbali ya kupinga uchaguzi kuanzia kuhamasisha watu kutoshiriki, kufanya maandamano kupinga uchaguzi au mambo mengine ya aina yoyote yenye viasharia vya kupinga uchaguzi.
Mynanmar ni nchi ambayo imekuwa katika misukosuko ya kisiasa kwa miongo kadhaa inayohusisha raia kudai utawala wa kidemokrasia.
Screenshot_20250731_075444_X.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom