Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 98,282
- 144,475
speak citizen problems and the solutions, not your appetite for votesWhat should be done?
So unashauri nini? chadema ishiriki hata kama itashindwa majimbo yote?. Maana nakumbuka ulitusema sana humu 2024 kwamba tunashiriki vipi uchaguzi ambao tunajua tutashindwa.NRNE ni movement mfu!
Oh no! Hapana kushiriki kwenye sham election.So unashauri nini? chadema ishiriki hata kama itashindwa majimbo yote?. Maana nakumbuka ulitusema sana humu 2024 kwamba tunashiriki vipi uchaguzi ambao tunajua tutashindwa.
WaTanzania hata sijui mnataka nini
Wala ujakosea NoReformNoElectionIf history is any guide, this no reform, no election craze is headed down the path of doom, as did others such as UKAWA.
Watanzania hatuwezi kabisa ku sustain indignation.
Hii kampeni inaenda kufa tu kama ilivyokufa UKAWA.
Nani anaikumbuka UKAWA? Ilishasahaulika kabisa katika msamiati 🤣. Oh, na yale maandamano yao [ambayo hayakutokea] nani anayakumbuka?
Pia, wakati wa Magufuli kuna baadhi ya watu walianza kuzichoma kadi zao za CCM. Wengi wao walifanya hivyo kwenye mitandao ya kijamii.
Leo hii wako wapi hao watu? CCM ilipoteza wanachama wangapi kutokana na kadi zake kuchomwa?
Idadi kubwa sana ya Watanzania hata hawaelewi maana ya hiyo slogan ya NRNE.
Watanzania walio wengi wala hawaoni tatizo lolote lile lililopo katika uongozi wa nchi.
Wengi wao wanaamini kila kitu ni hisani ya Rais. Ujinga bado ni mwingi sana.
Vilevile, wengi hata hawajui kiini cha matatizo ni nini.
Hata wale wenye uelewa mdogo, nao wame stuck na mtu mmoja tu ambaye hata hayupo tena, kuwa yeye ndiye chanzo cha matatizo yote yaliyopo.
Naomba muikumbuke hii mada ili yakishatimia, tuje tukumbushane vizuri kwa rejea.
NRNE ni movement mfu!
Waendelee tu na harakati.Kwa hiyo way forward wafanyeje ? Wape ushauri wewe Mzee mwenzetu.
Nimesema inakoelekea ni kulekule ilipoishia UKAWA.Umechanganya mambo mawili tofauti kabisa, ni wapi hiyo kampeni inafanana na Ukawa? Ni wapi Kinana , Januari na Nape wanaweza kufungua ofisi kama ile ya Masaki ya kubadili matokeo kwa Ajili ya No Reforms No Election, huku wakimshirikisha Kapilimba?
NRNE ni imbecilic fracas ya social media, ukiwauliza, kwa njia gani chama kimoja kutazuia vyama 18 visishiriki uchaguzi, wanajibu "we utaona tu siku ikifika"If history is any guide, this no reform, no election craze is headed down the path of doom, as did others such as UKAWA.
Watanzania hatuwezi kabisa ku sustain indignation.
Hii kampeni inaenda kufa tu kama ilivyokufa UKAWA.
Nani anaikumbuka UKAWA? Ilishasahaulika kabisa katika msamiati 🤣. Oh, na yale maandamano yao [ambayo hayakutokea] nani anayakumbuka?
Pia, wakati wa Magufuli kuna baadhi ya watu walianza kuzichoma kadi zao za CCM. Wengi wao walifanya hivyo kwenye mitandao ya kijamii.
Leo hii wako wapi hao watu? CCM ilipoteza wanachama wangapi kutokana na kadi zake kuchomwa?
Idadi kubwa sana ya Watanzania hata hawaelewi maana ya hiyo slogan ya NRNE.
Watanzania walio wengi wala hawaoni tatizo lolote lile lililopo katika uongozi wa nchi.
Wengi wao wanaamini kila kitu ni hisani ya Rais. Ujinga bado ni mwingi sana.
Vilevile, wengi hata hawajui kiini cha matatizo ni nini.
Hata wale wenye uelewa mdogo, nao wame stuck na mtu mmoja tu ambaye hata hayupo tena, kuwa yeye ndiye chanzo cha matatizo yote yaliyopo.
Naomba muikumbuke hii mada ili yakishatimia, tuje tukumbushane vizuri kwa rejea.
NRNE ni movement mfu!
Pls tell us, CDM inawezaje zuia vyama 18 visishiriki uchaguzi, ukinielewesha hiyo methodology/majic mtayotumia na nikaielewa nitajiunga na hiyo NrNe. So far naona tu slogan za NRNE na process za uchaguzi zinaendekea smoooothlyUmechanganya mambo mawili tofauti kabisa, ni wapi hiyo kampeni inafanana na Ukawa? Ni wapi Kinana , Januari na Nape wanaweza kufungua ofisi kama ile ya Masaki ya kubadili matokeo kwa Ajili ya No Reforms No Election, huku wakimshirikisha Kapilimba?
Hapo kwenye kuzuia uchaguzi CHADEMA walikosea sana!NRNE ni imbecilic fracas ya social media, ukiwauliza, kwa njia gani chama kimoja kutazuia vyama 18 visishiriki uchaguzi, wanajibu "we utaona tu siku ikifika"
Kutoshiriki uchaguzi feki means kususia uchaguzi, ni sawa?Hapo kwenye kuzuia uchaguzi CHADEMA walikosea sana!
Neno sahihi la kutumia hapo ni ‘kutokushiriki’ uchaguzi feki.
Otherwise, ni kivipi watauzuia huo uchaguzi usifanyike.
EXACTLY 💯 %, ukiwaambia hivyo wanaporomosha matusi na vitisho, nadhani hawa ni Gen Z wa JFHapo kwenye kuzuia uchaguzi CHADEMA walikosea sana!
Neno sahihi la kutumia hapo ni ‘kutokushiriki’ uchaguzi feki.
Otherwise, ni kivipi watauzuia huo uchaguzi usifanyike.
..ni sawa, lakini Kuzuia vyama 18 visishiriki uchaguzi kisiasa haileti maana njemaKutoshiriki uchaguzi feki means kususia uchaguzi, ni sawa?
Ndiyo. Lakini haimaanishi kuzuia uchaguzi.Kutoshiriki uchaguzi feki means kususia uchaguzi, ni sawa?
Aminini, hii bet ya Chadema italeta tofauti kwenye chaguzi za Tanzania, sijui ni kwa namna gani na muda gani. Lakini sasa Chadema wanakabiliwa na hali mbili tu, wafe au kuwe na mageuzi.. ngoja tuendelee kuangalia, politics ziko at its core..Ndiyo. Lakini haimaanishi kuzuia uchaguzi.
Kuzuia uchagu kuna insinuate mambo mengine kabisa!
CDM wamesema watazuia uchaguzi, na slogan yao inajieleza "NRNE"Ndiyo. Lakini haimaanishi kuzuia uchaguzi.
Kuzuia uchagu kuna insinuate mambo mengine kabisa!