GE2025 No Reforms, No Election imekufa rasmi leo tarehe12 August 2025 baada ya harambee ya CCM

GE2025 No Reforms, No Election imekufa rasmi leo tarehe12 August 2025 baada ya harambee ya CCM

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Ritz

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2011
Posts
54,015
Reaction score
43,157
Wanaukumbi.

No Reforms, No Election imekufa, rasmi leo tarehe 12 August 2025 baada harambee ya CCM.

Ikiangalia watu kutoka maeneo mbalimbali wanavyomchangia Rais Samia kwa ajili ya kampeni utaona kabisa mapenzi makubwa waliokuwa nayo kwa Rais Samia.

Rais Samia anachangiwa na kila mwananchi, Matajiri, Bodaboda, Mama lishe, Wavuvi,
 
Ule ni mkakati wa kukimbia uchaguzi
 
Wanaukumbi.

No Reforms, No Election imekufa, rasmi leo tarehe 12 August 2025 baada harambee ya CCM.

Ikiangalia watu kutoka maeneo mbalimbali wanavyomchangia Rais Samia kwa ajili ya kampeni utaona kabisa mapenzi makubwa waliokuwa nayo kwa Rais Samia.

Rais Samia anachangiwa na kila mwananchi, Matajiri, Bodaboda, Mama lishe, Wavuvi,
Hujui Dunia wewe ,kaa kwa kutulia, kwa mara ya kwanza tangu ccm kuwepo ndo inaitisha harambee, nrne ,imekausha kibubu cha ccm
 
Hujui Dunia wewe ,kaa kwa kutulia, kwa mara ya kwanza tangu ccm kuwepo ndo inaitisha harambee, nrne ,imekausha kibubu cha ccm
Tulikuwa tunaonya kuwa wanaharakati hawa akiwemo mkuu wa ujinga wao Maria wanawapoteza na kuwaharibia chama chenu cha siasa cha UFIPA hawakuwa wanasikia.

Tuliwaambia hawa watu siyo wa kuwapa chama chenu wakigeuze kuwa jukwaa la kufanya hatakati zao kwa kuwa watawaharibia chama hamkutaka kusikiliza kabisa yaani..

UFIPA na wanaharakati uchwara walisema haya;

1. Walisema uchaguzi mwaka huu hautafanyika mpaka mabadiliko yafanywe (wakati yalishafanywa wakasusa kushiriki) lakini tume huru ya uchaguzi ikatanganza kuwa uchaguzi upo na tarehe ikatangazaa
2. Walihamasisha watu wasijiandikishe kushiriki uchaguzi kwa kuwa haupo lakini watanzania wamejitokeza sana kujiandikisha na kuboresha taarifa zao kwa ajili ya uchaguzi wa Oktoba 2025
3. Walipayuka sana kuwa bunge halijavunjwa eti CCM wamebanwa na wafadhili sijui wanaogopa vikwazo haya bunge limefika kikomo rasmi na halipo tena na kuruhusu mchakato wa kuchagua wabunge upya kufanyika
4. Baada ya bunge kufika kikomo na leo watu wanapigiwa kura za maoni kutaka kuteuliwa kuwa wabunge kwa ajil iya uchaguzi mkuu Oktoba 2025 ni ishara kuwa uchaguzi uko palepale

Nataka niwaulize bado mnawachukulia hawa wanaharakati ni watu wenye akili timamu? Bado mnadhani hawa ni watu wa maana kuwafuata na kuwasikiliza? Walisema uchaguzi hakuna huu unaoandaliwa sasa ni kitu gani ? Walisema bunge halivunjwi ili kukaa na kupitisha mabadiliko haya kilichovunjwa kwa tamko la Rais kwenye gazeti la serikali ni nini?

Wanaharakati ni watu wajinga sana na wamekuwa wanatumia vyama kama CHADEMA kufanya ajenda zao.! Walipigana sana kupata nafasi hii wakati wa Mbowe wakashindwa kuipata vizuri sasa wameipata wakati wa Lissu, na wamefanikiwa kukivunjilia mbali chama hiki ambacho sasa kimebakia na kazi ya kwenda mhakamani kila wiki na kufanya mambo yao kwenye clubhouse na spaces huko kwa kuwa kimepigwa pini kufanya shughuli za kisiasa!.

Haya ndiyo mambo walikuwa wanataka wanaharakati ili wawe na ajenda ya kufanya kwa miaka mitano ijayo. Tuliwaambia CHADEMA haina ukubwa wanaojidanganya wako nao lakini walikuwa hawataki kusikia. Tuliwaambia wao siyo maarufu kama wanavyofhani hawakuwa wanasikia haya mbona uchaguzi unafanyika na hamna cha kufanya?

Mbona mmepigwa marufuku kufanya siasa na mmefyata mkia? Fanyeni mikutano basi mbona mmekwama sasa hivi? Si mlisema hakuna wa kuwazuia kufanya mikutano au? Mbona mmezuiliwa?

Heche na Lema walijaribu kuanzisha harambee wakaishia kupata laki 8
 
Wanaukumbi.

No Reforms, No Election imekufa, rasmi leo tarehe 12 August 2025 baada harambee ya CCM.

Ikiangalia watu kutoka maeneo mbalimbali wanavyomchangia Rais Samia kwa ajili ya kampeni utaona kabisa mapenzi makubwa waliokuwa nayo kwa Rais Samia.

Rais Samia anachangiwa na kila mwananchi, Matajiri, Bodaboda, Mama lishe, Wavuvi,
Ndio! Imekufa kama ishara ya mauti ijayo ya wahuni ndani ya CCM.
 
Wanaukumbi.

No Reforms, No Election imekufa, rasmi leo tarehe 12 August 2025 baada harambee ya CCM.

Ikiangalia watu kutoka maeneo mbalimbali wanavyomchangia Rais Samia kwa ajili ya kampeni utaona kabisa mapenzi makubwa waliokuwa nayo kwa Rais Samia.

Rais Samia anachangiwa na kila mwananchi, Matajiri, Bodaboda, Mama lishe, Wavuvi,
Mnatumia nguvu sana kwenye mambo ambayo mngetumia akili katika taifa ambalo lilipata uhuru zaidi ya miaka 50 iliyopita..... sisi sio bibi au mababu zetu wale wa enzi zile!
 
Wanaukumbi.

No Reforms, No Election imekufa, rasmi leo tarehe 12 August 2025 baada harambee ya CCM.

Ikiangalia watu kutoka maeneo mbalimbali wanavyomchangia Rais Samia kwa ajili ya kampeni utaona kabisa mapenzi makubwa waliokuwa nayo kwa Rais Samia.

Rais Samia anachangiwa na kila mwananchi, Matajiri, Bodaboda, Mama lishe, Wavuvi,
Mnajitekenya, halafu mnacheka wenyewe.

Kama imekufa, ni kwa nini mnaendelea kumshikilia Lissu gerezani kwa mashtaka ya kitoto? Kwa nini hamuiruhusu Chadema na viongozi wake kuendelea kufanya shughuli zao za kisiasa? Si mnafahamu kitakacho tokea!!

Nyinyi ni zaidi ya makunguru. Penyewe mnalindwa na policcm, lakini bado mnawaogopa watu wasio na silaha.
 
Ccm ni kama nchi ya netanyahu mkuu stuka 😁
 
NYINYI WAJINGA MNATIA HASIRA SANA MNAJISIFIA KUUWA CHADEMA WAKATI BADO MNAIOGOPA SIJUI AKILI ZENU ZIPO MAKALIONI? KAMA IMESHAKUFA SI MUMFUNGULIE LISSU, MUWEKE UCHAGUZI HURU NA WAHAKI?? MNAOGOPA NINI WAKATI CHADEMA IMESHAKUFA???

CHADEMA IMEKUFA HUKU MMEFUNGIA CHAMA CHAO, MMEFUNGA KIONGOZI WAO, MNAFANYA MAIGIZO YA UCHAGUZI, MNACHANGISHA PESA KUPAMBANA NA CHAUMA??? ILI IWEJE?? HIVI HAMUONI AIBU HATA KIDOGO?? MMEITA MMPAKA MAFISADI KUJA KUWACHANGIA.

NYINYI HAMNA ROHO YA KIBINADAMU HATA KIDOGO NI MAKATILI, HAMNA MFANO, MPO TAYARI HATA KUUWA ILI MBAKIE MADARAKANI SIJUI MNAJISIKIAJE WATU WANAVYOSONONEKA HIVI NA HAWANA AMANI KWASABABU YENU
 
Unajisifu umeshinda pambano la ndondi na kuua huku mshindani wako amefungwa mikono,miguu na amezibwa macho hahahaaaaa.Wenye akili Tanzania ni wachache sanaaaa.
 
ambao hamjamuelewa aliyeanzisha huu uzi ni kwamba,
JAMAA HATETEI CCM,BALI ANATETEA UISLAMU MAANA MGOMBEA CCM NI MUISLAMU MWENZAKE.

Ndio maana kama mkichunguza anaowakashifu kwenye huu uzi wake wote akiwemo maria,polepole na wengine ni WAKRISTO.

HIVYO HUYU JAMAA MUELEWENI VIZURI.
Pia mkifuatilia nyuzi zake zote humu ana BASE KWENYE UISLAMU NA WAISLAMU WENZAKE.
 
Back
Top Bottom