No Reforms No Chadema.
Uchaguzi Mkuu uko palepale, Mwezi Octoba 2025.
Vyama zaidi ya 17 Vitashiriki, watanzania wote wanajiandaa kuwachagua viongozi wao hiyo October.
Acha kujifanya msemaji wa wananchi wewe chawa.No Reforms No Chadema.
Uchaguzi Mkuu uko palepale, Mwezi Octoba 2025.
Vyama zaidi ya 17 Vitashiriki, watanzania wote wanajiandaa kuwachagua viongozi wao hiyo October.
G55.Watanzania wote ndiyo kina nani?
Mbunge: Kama CCM imejenga mahospitali, reli na yote inayosema kufanya, kulikoni kuogopa Tume Huru?
G55.
John Mrema alisema, kama mwaka 2015 tulipata viti vingi vya ubunge na udiwani tukiwa na tume ya taifa ya uchaguzi, sasa tunaogopa nini wakati tume ya sasa imefanyiwa marekebisho?
Mwezi wa Oktoba 2025 unaweza usibadilike, lakini Tanzania inabadilika na hofu yenu ndiyo inafanya muwakamate viongozi wanaodai haki.No Reforms No Chadema.
Uchaguzi Mkuu uko palepale, Mwezi Octoba 2025.
Vyama zaidi ya 17 Vitashiriki, watanzania wote wanajiandaa kuwachagua viongozi wao hiyo October.
Tunataka vijana kiburi kama wewe ili uchumi wa nchi uweze kukimbizana na wa China na USA,hii nchi ilipofikia mabadiliko ya katiba ni lazima,ni bora kuchagua Amber Ruti akuongoze ukiwa na katiba mpya ambayo itambana huyo mal*ya na wananchi tutamuhukumu kwa mahakama zetu ambazo "zitakuwa huru" kuliko kuwa na rais kahaba ambaye ametokana na katiba mbovu ambaye hata akifanya mafyongo hata akiuza nchi hashitakiwiMwezi wa Oktoba 2025 unaweza usibadilike, lakini Tanzania inabadilika na hofu yenu ndiyo inafanya muwakamate viongozi wanaodai haki.
Kejeli zenu hazifuti ukweli kuwa bila tume huru, uchaguzi ni maigizo ya kuwahadaa waliolala na kujifariji kwa kukumbatia barafu kwenye hali joto ya nyuzijoto 40, furaha yenu itayeyuka punde!
CHADEMA si watu wachache, ni dhamira ya mamilioni ya Watanzania wanaotaka mabadiliko.
Mnaweza kudharau sauti zao leo, lakini hamtaizuia kesho yao.
Mbona mna hofu sana na kaulimbiu ya CHADEMA?No Reforms No Chadema.
Uchaguzi Mkuu uko palepale, Mwezi Octoba 2025.
Vyama zaidi ya 17 Vitashiriki, watanzania wote wanajiandaa kuwachagua viongozi wao hiyo October.